Ila yamepanda kweli mkuu😀Bwana kazanazo watu wanalalamika eti mafuta ni ghari sana, mimi sijui sasa nikasema ngoja nijionee mwenyewe, nikaenda kuweka mafuta na msaidizi wangu, kuangalia receipt hata dola Mia mbili haifiki, nilishangaa sana nikamuuliza msaidizi wangu sasa hawa watu wanalalamikia nini
Mkuu,Kuongea mafanikio ndio kuji-proud mbona tafsiri inakuwa hivyo!
Kwanini jamii imejengwa kwa fikra kama hizoNi kweli mafanikio yako inabidi yawe Siri ,
Ukitaka kuongeza maadui tangaza mafanikio yako au malengo yako
Binadamu wame umbiwa mashindano kila mtu anataka awe juu ya mwenziye
Tunza Malengo yako uta tunza Amani yako.
Una umri gan kijana? .mbona kama bado unabalehe? Hiv hii hesabu si ndogo kabisa kwa mtu mzima mwenye akili fimamu?Kwanini shida sio tatizo kwahiyo watu tuwe na shida tu muda wote
Bado sijapata jibu zaidi naona hata wachangiaji ni sawa na marafiki zangu wote hawataki kuambiwa mafanikio ya mtu zaidi ya shida, swali ni kwanini jamii imejengeka namna hiyoMkuu,
Mpaka hapa ilitakiwa uwe umesha pata jibu na sio kuendelea kubishana na wachangiaji,
Umeshajua kua hao watu wako hawapendi uwaelezee mafanikio yako,sasa kwanini uendelee kuwaelezea mafanikio yako?
Acha kuwaelezea mafanikio yako hao watu wako au badilisha marafiki,hao sio marafiki/watu wema kwako.
Ukiuliza swali "Ni kwanini jamii imejengeka hivyo?"Bado sijapata jibu zaidi naona hata wachangiaji ni sawa na marafiki zangu wote hawataki kuambiwa mafanikio ya mtu zaidi ya shida, swali ni kwanini jamii imejengeka namna hiyo
Ndiyo ilivyo sisi binadam japo tunatofautiana tabia, kama una tabia ya kueleza mafanikio yako kwa watu acha kabisa, si kila mtu anafurahishwa/anapendezwa na mafanikio yako !Mbona shida huwa tunazisema na haiwi nongwa
Zaidi ninyi weusi, mnakuwa weusi mpaka wa roho🤣Mafanikio hayana kipimo ila kila mtu na mafanikio yake kulingana na malengo aliyojiwekea
Sasa jamii yetu ya kibongo ukimuelezea mtu mafanikio yako yawe makubwa au madogo hujawa na makasiriko na laana juu, kwanini?
Mara ooh! Pesa ni za shetani tafuta ufalme wa Mungu, mara sijui pesa kazipata kwa magendo na njia za mkato alooh!!!?
mtu wa aina hiyo ni sumu moja mbaya mno, na mtu aina hii ngumu sana kufanikiwa na ata ikitokea haoni thamani ya yake !Mafanikio yako ni kwajili yako kwangu ni kero naweza kukuroga au kukuwekea sumu
Sasa wewe unamweleza MTU shida zako, mafanikio unatoa wapi?Ila nikimuelezea shida sawa
Ukimuuliza hawezi kuwa na sababu ya msingi ya kuchukia maendeleo yakoHii ni hatari sana kwa kweli yaani usijaribu
Mimi nilianza kufuga kuku 100 wake delea kuongezeka Hadi tukuku mia mbili alipo jua tu amegoma kuniuzia chakula kwakweli mafanikio hata yawe madogo kiasi Gani furahia peke Yako tu
Ukitaka akufurahie mweleze mafanikio yako huku ukionesha kuwa na yeye atanufaika na mafanikio yako.Mafanikio hayana kipimo ila kila mtu na mafanikio yake kulingana na malengo aliyojiwekea
Sasa jamii yetu ya kibongo ukimuelezea mtu mafanikio yako yawe makubwa au madogo hujawa na makasiriko na laana juu, kwanini?
Mara ooh! Pesa ni za shetani tafuta ufalme wa Mungu, mara sijui pesa kazipata kwa magendo na njia za mkato alooh!!!?