Hivi kwanini viongozi wa Wakatoliki sijawaona hapa?

Kama hawaoni umuhimu wako, haina haja ya kulazimisha.

Keep your profil low
wakati wa Nyerere, Mkapa , Magufuli walikuwa hawaadimiki. halafu watu wanaulizana mbona vijana watz tofauti na wakenya?
 
Sio zama zao subiri kidogo aje mmoja wao
Mbwembwe nyingi
 
Nimemuona huyo mwalikwa wa mwisho hapo Chini, nikakumbuka enzi zile akiwa Sheikh wa Mkoa. Bora akose shughuli zote lakini sio kukosa Mwaliko wa Ikulu 😜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…