Hivi kwanini viongozi wa Wakatoliki sijawaona hapa?

Hivi kwanini viongozi wa Wakatoliki sijawaona hapa?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Au hawakualikwa, na kwanini hawakualikwa?

Je kuna ulazima wa kushirikisha watu wa Dini kwenye mambo kama haya, Kwanini?

Screenshot_2024-08-01-14-36-00-1.png
Screenshot_2024-08-01-14-35-39-1.png
Screenshot_2024-08-01-14-35-35-1.png
4
 
Nimemuona huyo mwalikwa wa mwisho hapo Chini, nikakumbuka enzi zile akiwa Sheikh wa Mkoa. Bora akose shughuli zote lakini sio kukosa Mwaliko wa Ikulu 😜
 
Back
Top Bottom