Hivi kwanini waislamu wengi ndiyo wajanja wa nchi hii?

Hivi kwanini waislamu wengi ndiyo wajanja wa nchi hii?

Kusini pride

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2022
Posts
1,762
Reaction score
4,079
Hivi sijui kwanini waislamu wengi ndiyo wanaonekana wajanja sana kwenye nchi hii kuliko watu wa dini nyingine? Je sababu ni ipi?au nini kinawafanya waislamu wawe superior na wajanja sana? Na wamestaarabika sana kuliko watu wa dini nyingine? Kila mkoa unaoenda waislamu ndio wameshika hatamu kwa ujanja wao

Kwa mfano wazee wengi wa kariakoo ilala ndiyo waliompokea Nyerere na wakampa maujanja ya mitaa na wakampa mbinu mzuri ya kuwaingia wakoloni na pia waislamu wa mwanzo kama akina aziz ally,dosa azizi, Kleist Sykes na wengineo ndiyo watu wa mwanzo kumiliki vitu vya kijanja na spirit hii imeenea mpaka kwa waislamu wa kileo ndiyo wajanja wa mji kuliko watu wa dini nyingine.
 
Wafanyabiashara ndio walishaji wa nchi Kwa bidhaa!

Lazima wachangamke!wakeisto ni watawala waliokaa maofisini wakisubiri kufuata maelekezo!
 
Udini,hata ukiangalia wachezaji wengi wa Moira wa miguu wengi ni waislamu,ukicheck wasanii wengi wa bongofleva na bongo movies wengi ni waislamu. Wafanyabiashara wengi kariakoo na huko mitaani ni waislamu,makondakta wa madaladala na madereva wengi ni vijana wa kiislamu. Kweli waislamu wajanja sana kwenye hii nchi wako mbele Kila sekta.
 
Hivi sijui kwanini waislamu wengi ndiyo wanaonekana wajanja sana kwenye nchi hii kuliko watu wa dini nyingine? Je sababu ni ipi?au nini kinawafanya waislamu wawe superior na wajanja sana? Na wamestaarabika sana kuliko watu wa dini nyingine? Kila mkoa unaoenda waislamu ndio wameshika hatamu kwa ujanja wao

Kwa mfano wazee wengi wa kariakoo ilala ndiyo waliompokea Nyerere na wakampa maujanja ya mitaa na wakampa mbinu mzuri ya kuwaingia wakoloni na pia waislamu wa mwanzo kama akina aziz ally,dosa azizi, Kleist Sykes na wengineo ndiyo watu wa mwanzo kumiliki vitu vya kijanja na spirit hii imeenea mpaka kwa waislamu wa kileo ndiyo wajanja wa mji kuliko watu wa dini nyingine.
Define ujanja. Weka data tuchambue mambo kisomi.

Achana na anecdotal data fallacy.
 
Huu mjadala ni mpana sana, na kwa kuwa huwa hakuna mijadala huru basi tutaanza kufokeana humu

Watu waliamua kufuata biashara Badala ya Siasa ambapo kupata ajira ilikuwa ni ngumu kisa Elimu

Waliopata Elimu ni wachache hivi kufanya wengine kuanza kuuza mafuta ya Taa na majani ya chai

Ila biashara zilikuwa na leo ndio matokeo yake haya

Wa serikalini wapo ila bila wanawategemea zaidi wafanyabiashara

Labda kuna wazee zaidi wataleta ukweli ila kwa kuwa hakuna Historia iliyoandikwa basi vijana watajazwa uongo mwingi sana
 
Back
Top Bottom