Kusini pride
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 1,762
- 4,079
DaaaahSasa kwanini huwa kuna kelele nyingi za mfumo kristo serikalini wakati wajanja ni waislamu?
Halafu Nyerere naye akawaletea BAKWATANa ndio walimfundishaga Nyerere kule seminar na chuo kikuu makerere. What a trash kibazi
Wafanya biashara ni waarabu waislam wa kimatumbi wengi ni kuongeza wake tu na kufuga mabushaWafanyabiashara ndio walishaji wa nchi Kwa bidhaa!
Lazima wachangamke!wakeisto ni watawala waliokaa maofisini wakisubiri kufuata maelekezo!
Define ujanja. Weka data tuchambue mambo kisomi.Hivi sijui kwanini waislamu wengi ndiyo wanaonekana wajanja sana kwenye nchi hii kuliko watu wa dini nyingine? Je sababu ni ipi?au nini kinawafanya waislamu wawe superior na wajanja sana? Na wamestaarabika sana kuliko watu wa dini nyingine? Kila mkoa unaoenda waislamu ndio wameshika hatamu kwa ujanja wao
Kwa mfano wazee wengi wa kariakoo ilala ndiyo waliompokea Nyerere na wakampa maujanja ya mitaa na wakampa mbinu mzuri ya kuwaingia wakoloni na pia waislamu wa mwanzo kama akina aziz ally,dosa azizi, Kleist Sykes na wengineo ndiyo watu wa mwanzo kumiliki vitu vya kijanja na spirit hii imeenea mpaka kwa waislamu wa kileo ndiyo wajanja wa mji kuliko watu wa dini nyingine.
BAKWATA nayo imetuzalishia machawa na wajinga wengiHalafu Nyerere naye akawaletea BAKWATA
Kuoa ni biashara pia na Ina faida kwa wahusika!!Wafanya biashara ni waarabu waislam wa kimatumbi wengi ni kuongeza wake tu na kufuga mabusha