Hivi kwanini waislamu wengi ndiyo wajanja wa nchi hii?

Kusini pride

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2022
Posts
1,762
Reaction score
4,079
Hivi sijui kwanini waislamu wengi ndiyo wanaonekana wajanja sana kwenye nchi hii kuliko watu wa dini nyingine? Je sababu ni ipi?au nini kinawafanya waislamu wawe superior na wajanja sana? Na wamestaarabika sana kuliko watu wa dini nyingine? Kila mkoa unaoenda waislamu ndio wameshika hatamu kwa ujanja wao

Kwa mfano wazee wengi wa kariakoo ilala ndiyo waliompokea Nyerere na wakampa maujanja ya mitaa na wakampa mbinu mzuri ya kuwaingia wakoloni na pia waislamu wa mwanzo kama akina aziz ally,dosa azizi, Kleist Sykes na wengineo ndiyo watu wa mwanzo kumiliki vitu vya kijanja na spirit hii imeenea mpaka kwa waislamu wa kileo ndiyo wajanja wa mji kuliko watu wa dini nyingine.
 
Kwa nini unaurudia huu uzi? Ule wa awali wameufuta?
 
Soma makala za Mohamed Said akilalamika humu kila siku jinsi waislamu wa dathlam walivozidiwa ujanja na wakuja (hao wa dini zingine). Msome kwa utuo utaelewa nani mjanja hapa mjini.
 
Mara kadhaa nilishasema udini ni kumanyoko hamkunisikia.
 
Sasa narudia kusema UDINI NI KUMANYOKO!
 
Hivi sijui kwanini waislamu wengi ndiyo wanaonekana wajanja sana kwenye nchi hii kuliko watu wa dini nyingine? Je sababu ni ipi?au nini kinawafanya waislamu wawe superior na wajanja sana? Na wamestaarabika sana kuliko watu wa dini nyingine? Kila mkoa unaoenda waislamu ndio wameshika hatamu kwa ujanja wao

Kwa mfano wazee wengi wa kariakoo ilala ndiyo waliompokea Nyerere na wakampa maujanja ya mitaa na wakampa mbinu mzuri ya kuwaingia wakoloni na pia waislamu wa mwanzo kama akina aziz ally,dosa azizi, Kleist Sykes na wengineo ndiyo watu wa mwanzo kumiliki vitu vya kijanja na spirit hii imeenea mpaka kwa waislamu wa kileo ndiyo wajanja wa mji kuliko watu wa dini nyingine.
Ilikuwaje Kijana kutoka Butiama akamshunda kijana Sykes mjanja wa Dar na akawa mwenyekiti wa TANU?
 
Hivi sijui kwanini waislamu wengi ndiyo wanaonekana wajanja sana kwenye nchi hii kuliko watu wa dini nyingine? Je sababu ni ipi?au nini kinawafanya waislamu wawe superior na wajanja sana? Na wamestaarabika sana kuliko watu wa dini nyingine? Kila mkoa unaoenda waislamu ndio wameshika hatamu kwa ujanja wao

Kwa mfano wazee wengi wa kariakoo ilala ndiyo waliompokea Nyerere na wakampa maujanja ya mitaa na wakampa mbinu mzuri ya kuwaingia wakoloni na pia waislamu wa mwanzo kama akina aziz ally,dosa azizi, Kleist Sykes na wengineo ndiyo watu wa mwanzo kumiliki vitu vya kijanja na spirit hii imeenea mpaka kwa waislamu wa kileo ndiyo wajanja wa mji kuliko watu wa dini nyingine.
Kaka usijidanganye kama unampokea mtu alafu anakupiku maujanja mpaka baadae anakutawala na kukupangia kazi za kufanya basi ujue wewe ndio utakuwa lofa na fala namba moja
 
Hivi sijui kwanini waislamu wengi ndiyo wanaonekana wajanja sana kwenye nchi hii kuliko watu wa dini nyingine? Je sababu ni ipi?au nini kinawafanya waislamu wawe superior na wajanja sana? Na wamestaarabika sana kuliko watu wa dini nyingine? Kila mkoa unaoenda waislamu ndio wameshika hatamu kwa ujanja wao

Kwa mfano wazee wengi wa kariakoo ilala ndiyo waliompokea Nyerere na wakampa maujanja ya mitaa na wakampa mbinu mzuri ya kuwaingia wakoloni na pia waislamu wa mwanzo kama akina aziz ally,dosa azizi, Kleist Sykes na wengineo ndiyo watu wa mwanzo kumiliki vitu vya kijanja na spirit hii imeenea mpaka kwa waislamu wa kileo ndiyo wajanja wa mji kuliko watu wa dini nyingine.
Nyie ndo maana mnaitwa kenge
 
Back
Top Bottom