Kusini pride
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 1,762
- 4,079
Kwa nini unaurudia huu uzi? Ule wa awali wameufuta?Hivi sijui kwanini waislamu wengi ndiyo wanaonekana wajanja sana kwenye nchi hii kuliko watu wa dini nyingine? Je sababu ni ipi?au nini kinawafanya waislamu wawe superior na wajanja sana? Na wamestaarabika sana kuliko watu wa dini nyingine? Kila mkoa unaoenda waislamu ndio wameshika hatamu kwa ujanja wao
Kwa mfano wazee wengi wa kariakoo ilala ndiyo waliompokea Nyerere na wakampa maujanja ya mitaa na wakampa mbinu mzuri ya kuwaingia wakoloni na pia waislamu wa mwanzo kama akina aziz ally,dosa azizi, Kleist Sykes na wengineo ndiyo watu wa mwanzo kumiliki vitu vya kijanja na spirit hii imeenea mpaka kwa waislamu wa kileo ndiyo wajanja wa mji kuliko watu wa dini nyingine.
Ilikuwaje Kijana kutoka Butiama akamshunda kijana Sykes mjanja wa Dar na akawa mwenyekiti wa TANU?Hivi sijui kwanini waislamu wengi ndiyo wanaonekana wajanja sana kwenye nchi hii kuliko watu wa dini nyingine? Je sababu ni ipi?au nini kinawafanya waislamu wawe superior na wajanja sana? Na wamestaarabika sana kuliko watu wa dini nyingine? Kila mkoa unaoenda waislamu ndio wameshika hatamu kwa ujanja wao
Kwa mfano wazee wengi wa kariakoo ilala ndiyo waliompokea Nyerere na wakampa maujanja ya mitaa na wakampa mbinu mzuri ya kuwaingia wakoloni na pia waislamu wa mwanzo kama akina aziz ally,dosa azizi, Kleist Sykes na wengineo ndiyo watu wa mwanzo kumiliki vitu vya kijanja na spirit hii imeenea mpaka kwa waislamu wa kileo ndiyo wajanja wa mji kuliko watu wa dini nyingine.
Kaka usijidanganye kama unampokea mtu alafu anakupiku maujanja mpaka baadae anakutawala na kukupangia kazi za kufanya basi ujue wewe ndio utakuwa lofa na fala namba mojaHivi sijui kwanini waislamu wengi ndiyo wanaonekana wajanja sana kwenye nchi hii kuliko watu wa dini nyingine? Je sababu ni ipi?au nini kinawafanya waislamu wawe superior na wajanja sana? Na wamestaarabika sana kuliko watu wa dini nyingine? Kila mkoa unaoenda waislamu ndio wameshika hatamu kwa ujanja wao
Kwa mfano wazee wengi wa kariakoo ilala ndiyo waliompokea Nyerere na wakampa maujanja ya mitaa na wakampa mbinu mzuri ya kuwaingia wakoloni na pia waislamu wa mwanzo kama akina aziz ally,dosa azizi, Kleist Sykes na wengineo ndiyo watu wa mwanzo kumiliki vitu vya kijanja na spirit hii imeenea mpaka kwa waislamu wa kileo ndiyo wajanja wa mji kuliko watu wa dini nyingine.
Nyie ndo maana mnaitwa kengeHivi sijui kwanini waislamu wengi ndiyo wanaonekana wajanja sana kwenye nchi hii kuliko watu wa dini nyingine? Je sababu ni ipi?au nini kinawafanya waislamu wawe superior na wajanja sana? Na wamestaarabika sana kuliko watu wa dini nyingine? Kila mkoa unaoenda waislamu ndio wameshika hatamu kwa ujanja wao
Kwa mfano wazee wengi wa kariakoo ilala ndiyo waliompokea Nyerere na wakampa maujanja ya mitaa na wakampa mbinu mzuri ya kuwaingia wakoloni na pia waislamu wa mwanzo kama akina aziz ally,dosa azizi, Kleist Sykes na wengineo ndiyo watu wa mwanzo kumiliki vitu vya kijanja na spirit hii imeenea mpaka kwa waislamu wa kileo ndiyo wajanja wa mji kuliko watu wa dini nyingine.
ona umepaniki mama Joshua? Kumbe yule mbunge kenge alimaanisha waislamu?Nyie ndo maana mnaitwa kenge
Upo wapi wewe dada Martha?
Aisee udini upo wapi hapo?Mara kadhaa nilishasema udini ni kumanyoko hamkunisikia.
Sasa narudia kusema UDINI NI KUMANYOKO!
Udini upo kwa sababu unawalinganisha waislamu na wakristo.Aisee udini upo wapi hapo?