Biblia sio Quran boss
Huwa tunanakili jina la kitabu,sura namba na mstari basi.hapo ndo unapata ujumbe kusudiwa
Kukariri haiwezekani,biblia ni kubwa mno.
Bible Iko vague au random, kukari hutoweza.
Na Quran imeandikwa kwa stail ya ushairi ambayo ni rahisi kukari. OIla Quran ikibadilishwa kwa kiswahili nayo inakuwa ngumu kukariri maana hutopata zile waves.
Mfano
Alhamdulilah rabirl-rhalamin
Arhamani rahimu. Maaliki ya umurldin..
Nimeweka kwa character za kirumi bado unapata mizania au mapigo yanayofana, ukibadili kupeleka kiswahili unapoteza muafaka, ridhms na uwiano wa sauti. Sasa utapata tabu sana kama unavyokariri maneno ya jiogragia. Designer wa kuran alikuwa fundi wa lugha.
Sijui kama bible ikiwekwa ktk kiarabu nayo ina imbika sawa na Quran sijui.
Huu nni uelewa wangu kutokana na kujifunza kiarabu na hizi lugha zetu.
Ajabu ni kwamba madrasa watu hukariri mmsaafu wote huku akijua maana kidogo lakini ni ngumu kukari. Vitabu vya kingereza shuleni ambavuo hujui maana.
Nadhani unatakiwa ufanyike utafiti zaidi zaidi ya tunanavyodhani.
Omar nilisoma nae darasa moja, darasani hakuweza kukariri masomo ila madrasa aliweza kukariti juzuu nyingi na hadithi nadhani sasa naweza kuwa shehe huko aliko.