kidole cha simba
JF-Expert Member
- Jun 3, 2022
- 2,359
- 2,789
haitakiwi kukakariri,unatakiwa kuelewa!!!...nakumbuka nilipokuwa sekondari mwalimu we2 wa jiografia alikuwa anatusisitiza sana kuelewa,lakinikuna mwamba mmoja alikuwa akiitwa kitwe,,jamaa alimeza kitabu chote cha jiografia akakiweka kichwani,,lakini kila akifanya mtihani alikuwa anapata chini ya asilimia 40,wakati tuliokuwa tukielewa tulikuwa tunagonga kuanzia B-A,,,why,,,,mwalimu alikuwa akitunga swali la mtego jamaa anaingia mazima,,,ndo ivo form 4 alipiga round about!!Kila mwaka huwa tunashudia mamia ya watoto wanaoshindana kwa kuhifadhi kitabu kitakatifu cha Quran.Hufanyika ngazi ya misikiti mpaka kimataifa kwenye viwanja vikubwa vya kitaifa,
Wako kama mimi wanaoweza kukariri juzuu moja yenye sura 36 fupi fupi.Wako juzuu 2,,3..4 mpaka 30.Tena ukariri huo ni lazima ufuatane na hukumu za kusoma kwa usahihi bila kukatisha herufu au kupunguza.
Yako mengi,lakini kwa hili masheikh wanasema huo ni moja ya muujiza wa Qur'an kwa vile ni maneno ya Mungu (Allah) mwenyewe.
Sijui kama wengine wanaofuata vitabu tofauti na Quran wamewahi wao wenyewe au viongozi wao kujaribu angalau ukurasa mmoja tu.
Sawa kama hutaki kuamini mfumo wa mahesabu yaliyofichikana kwenye Quar'anNilizani unajua unalosema kumbe unategemea hearsay, tena Ai iliyotengenezwa na binadamu.
Sasa hicho ulichoweka hapo si hata wakristo wanaweza leta heasay kama hizo.
Porojo tu sijaona uthibitisho wa Quran kuwa neno la Mungu na Biblia isiwe neno la Mungu.Sawa kama hutaki kuamini mfumo wa mahesabu yaliyofichikana kwenye Quar'an
Unajua kuwa alama za vidole ni kitambulisho kikubwa cha watu duniani na kuwatofautisha juu ya kwamba tupo zaidi ya bilioni 6.Hilo limetajwa ndani ya Quran.
Ingekuwa ni maneno ya mtu asingeweza kujaribu kuweka aya asiyofahamu maana yake.
Acha uongo wako wewe.Na sala ya BABA YETU uliwakaririsha wewe Bloody ndevus!Kila mwaka huwa tunashudia mamia ya watoto wanaoshindana kwa kuhifadhi kitabu kitakatifu cha Quran.Hufanyika ngazi ya misikiti mpaka kimataifa kwenye viwanja vikubwa vya kitaifa,
Wako kama mimi wanaoweza kukariri juzuu moja yenye sura 36 fupi fupi.Wako juzuu 2,,3..4 mpaka 30.Tena ukariri huo ni lazima ufuatane na hukumu za kusoma kwa usahihi bila kukatisha herufu au kupunguza.
Yako mengi,lakini kwa hili masheikh wanasema huo ni moja ya muujiza wa Qur'an kwa vile ni maneno ya Mungu (Allah) mwenyewe.
Sijui kama wengine wanaofuata vitabu tofauti na Quran wamewahi wao wenyewe au viongozi wao kujaribu angalau ukurasa mmoja tu.
Kama unavyoifustilia torati,kasome na vingine hivyohivyo.Hiyo sala bado sijaisoma.Hebu iweke hapa tuone iwapo ni nyimbo au ni mistari ya biblia na tuone iwapo inakidhi vigezo
Kama ni hivyo,usifuatilie yasiyokuhusu.Unataka kusikia unayoyapenda tu?Torati halisi kwa sasa imo kwenye Qur'an peke yake.
Kwenye Qur'an habari za nabii Mussa ni za kutosha ukijumuisha na ufafanuzi wa Mtume saw unakuta imekamilika kabisa.
Taja hilo andiko na unakilia aya inayokataza kula nguruwe.Ikiwa vitabu vya kisheria watu wanakariri...
Ili utilie maanani jambo inategemea how vslue it is....kuna mtu ukimwambia kuna andiko ndani ya BIBLE inakataza nguruwe atang'aka....andiko YESU sio MUNGU atang'aka...
Huku ni matendo kwa imani tu....hata wakikaa viongozi waka edit vifungu...hii ni dini ya imani tu utaingia mbinguni
Bible Iko vague au random, kukari hutoweza.Biblia sio Quran boss
Huwa tunanakili jina la kitabu,sura namba na mstari basi.hapo ndo unapata ujumbe kusudiwa
Kukariri haiwezekani,biblia ni kubwa mno.
Kwa sababu kuelewa maandiko ni bora kuliko kukaririKila mwaka huwa tunashudia mamia ya watoto wanaoshindana kwa kuhifadhi kitabu kitakatifu cha Quran.Hufanyika ngazi ya misikiti mpaka kimataifa kwenye viwanja vikubwa vya kitaifa,
Wako kama mimi wanaoweza kukariri juzuu moja yenye sura 36 fupi fupi.Wako juzuu 2,,3..4 mpaka 30.Tena ukariri huo ni lazima ufuatane na hukumu za kusoma kwa usahihi bila kukatisha herufu au kupunguza.
Yako mengi,lakini kwa hili masheikh wanasema huo ni moja ya muujiza wa Qur'an kwa vile ni maneno ya Mungu (Allah) mwenyewe.
Sijui kama wengine wanaofuata vitabu tofauti na Quran wamewahi wao wenyewe au viongozi wao kujaribu angalau ukurasa mmoja tu.
fikra za utumwa na kasoro za kukariri zinakuja iwapo unazungumzia mambo yatokanayo na wanadamu kama wewe.Ama unapokuwa unazungumzia Qur'an kukariri ni muhimu kwani kila herufu na jumla ya maneno yana maana ambayo hayatakiwi kubadilishwa hata chembe.maisha ya kukariri ni maisha ya kitumwa, unafungwa ufahamu ambao unatakiwa utumike kufikiri, uelewe na kupata majibu.
ndo maana watumwa wengi siku hizi wanakimbilia maombezi na dua sababu ya uvivu wa kutumia akili zao kutatua shida zao...
watumwa wengi wameishia kukariri vitu na si kutafakari na kufikiri... maana kama unatafakari na kufikiri kwa kina huwezi kuongozwa na vitabu vya Quran na Biblia vilivyotungwa na watu kama wewe...