awaanguki=hawaanguki, hili ndilo neno sahihiKuna kitu nimekuwa nikijiuliza naomba nakiweke hapa tupate kushiriki pamoja inaweza ikawa jambo halina maana sanaaa ila nimekuwa nakuuliza kila nikiona maombezi naona sanaa wanaenda uko ni kina mama tu wanaume wachache sana pia ata kipindi wanaombea ile wanaanguka chini sijawahi kuona wanaume naona wanawake tu sasa je wanaume wanakuwa awana Imani kama wanawake au?? Ebu anayejua aje na neno kidogo hapa
nikiumia namrudiaUnapofunga macho kwa dk zaidi ya 10 huku umenyoosha mikono unakoaa balance hivyo akikusukuma lazima uanguke ndio maana huwa wanawasukuma
🤣🤣Hujatembelea vikanisa vidogo vidogo vya vichochoroni,
Dume la Miraba minne linaanguka
Kwa sababu wao ndio waliombiwa uzazi hivyo vitu vingi wanavibeba rohoni tofauti na mwanaume anabeba moyoniKuna kitu nimekuwa nikijiuliza naomba nakiweke hapa tupate kushiriki pamoja inaweza ikawa jambo halina maana sanaaa ila nimekuwa nakuuliza kila nikiona maombezi naona sanaa wanaenda uko ni kina mama tu wanaume wachache sana pia ata kipindi wanaombea ile wanaanguka chini sijawahi kuona wanaume naona wanawake tu sasa je wanaume wanakuwa awana Imani kama wanawake au?? Ebu anayejua aje na neno kidogo hapa
Kwa sababu wao ndio waliumbiwa uzazi hivyo vitu vingi wanavibeba rohoni tofauti na mwanaume anabeba moyoniKuna kitu nimekuwa nikijiuliza naomba nakiweke hapa tupate kushiriki pamoja inaweza ikawa jambo halina maana sanaaa ila nimekuwa nakuuliza kila nikiona maombezi naona sanaa wanaenda uko ni kina mama tu wanaume wachache sana pia ata kipindi wanaombea ile wanaanguka chini sijawahi kuona wanaume naona wanawake tu sasa je wanaume wanakuwa awana Imani kama wanawake au?? Ebu anayejua aje na neno kidogo hapa
Haya umeyatoa wapi? kwaiyo haitokaa hata sikumoja mwanaume kuanguka?Kwa sababu wao ndio waliumbiwa uzazi hivyo vitu vingi wanavibeba rohoni tofauti na mwanaume anabeba moyoni