Hivi kwanini wanaume huwa awaanguki katika maombi ni wanawake tu

ommytk

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2015
Posts
520
Reaction score
1,143
Kuna kitu nimekuwa nikijiuliza naomba nakiweke hapa tupate kushiriki pamoja inaweza ikawa jambo halina maana sanaaa ila nimekuwa nakuuliza kila nikiona maombezi naona sanaa wanaenda uko ni kina mama tu wanaume wachache sana pia ata kipindi wanaombea ile wanaanguka chini sijawahi kuona wanaume naona wanawake tu sasa je wanaume wanakuwa awana Imani kama wanawake au?? Ebu anayejua aje na neno kidogo hapa
 
Wanakanyaga mafuta na kula keki..soon wakimaliza wapande magari yao ya mbagala watakuja kukujibu.

Ila nasikiaga wanawake wanamapepo zaidi ya wanaume..mana wamejaa visasi..chuki na husuda.

Kiufupi wana roho nyepesi ambapo mapepo hupenda kuweka makazi.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kuna kitu nimekuwa nikijiuliza naomba nakiweke hapa tupate kushiriki pamoja inaweza ikawa jambo halina maana sanaaa ila nimekuwa nakuuliza kila nikiona maombezi naona sanaa wanaenda uko ni kina mama tu wanaume wachache sana pia ata kipindi wanaombea ile wanaanguka chini sijawahi kuona wanaume naona wanawake tu sasa je wanaume wanakuwa awana Imani kama wanawake au?? Ebu anayejua aje na neno kidogo hapa
awaanguki=hawaanguki, hili ndilo neno sahihi
 
Huwa wanajiangusha na ikibidi wasaidizi wa mchungaji huwachota mitama au kuwasukuma waombewaji.
Sasa kwa upande wa wanaume, tujamaa hatuwapigi mitama kwa sababu tunahofu ya kuvujisha siri
 
Sasa kama hawana mapepo unataka waanguke ili iweje?
Mapepo nayo yanaangalia vitu vyenye ushawishi mkubwa kwenye jamii, ukimkamata mwanamke umekamata familia umekamata jamii nzima.
Mapepo yana wakamata wanawake ili wao waje kutushawishi sisi(wanaume) kufanya dhambi
 
Kuna kitu nimekuwa nikijiuliza naomba nakiweke hapa tupate kushiriki pamoja inaweza ikawa jambo halina maana sanaaa ila nimekuwa nakuuliza kila nikiona maombezi naona sanaa wanaenda uko ni kina mama tu wanaume wachache sana pia ata kipindi wanaombea ile wanaanguka chini sijawahi kuona wanaume naona wanawake tu sasa je wanaume wanakuwa awana Imani kama wanawake au?? Ebu anayejua aje na neno kidogo hapa
Kwa sababu wao ndio waliombiwa uzazi hivyo vitu vingi wanavibeba rohoni tofauti na mwanaume anabeba moyoni
 
Wanasukumiza sasa wanaume wana nguvu zaidi inakua sio rahisi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna kitu nimekuwa nikijiuliza naomba nakiweke hapa tupate kushiriki pamoja inaweza ikawa jambo halina maana sanaaa ila nimekuwa nakuuliza kila nikiona maombezi naona sanaa wanaenda uko ni kina mama tu wanaume wachache sana pia ata kipindi wanaombea ile wanaanguka chini sijawahi kuona wanaume naona wanawake tu sasa je wanaume wanakuwa awana Imani kama wanawake au?? Ebu anayejua aje na neno kidogo hapa
Kwa sababu wao ndio waliumbiwa uzazi hivyo vitu vingi wanavibeba rohoni tofauti na mwanaume anabeba moyoni
 
Kuna mambo mengi yanafanya hivyo kuchoka wanasimama muda mrefu,njaa, joto kali na hisia kali tofauti na sisi wanaume tunakaza tu wanawake wakati mwingine ni waigizaji sana akiona rafk yake kaanguka nae anaanguka kama fasheni flani mm kuanguka labda wanigonge na tinga!
 
Wapo waigizaji wanaoanguka kwa pupa

wanasukumwa makusudi unakuta mbele wamepanga mstari watumishi wa hapo hapo kanisani maombi yakianza wanarudi nyuma ghafla kunakua na mdondokeano

Kuna kusukumwa kwa nguvu na muombeaji,jinsi unavyokua mgumu kudondoka nae anazidi kuongeza nguvu
 
Back
Top Bottom