ommytk
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 520
- 1,143
Kuna kitu nimekuwa nikijiuliza naomba nakiweke hapa tupate kushiriki pamoja inaweza ikawa jambo halina maana sanaaa ila nimekuwa nakuuliza kila nikiona maombezi naona sanaa wanaenda uko ni kina mama tu wanaume wachache sana pia ata kipindi wanaombea ile wanaanguka chini sijawahi kuona wanaume naona wanawake tu sasa je wanaume wanakuwa awana Imani kama wanawake au?? Ebu anayejua aje na neno kidogo hapa