Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Habari zenu nina imani mwabuheri wa afya.
Nadhani baadhi yetu tunasikia sana namna hao wadau tajwa hapo juu wanavyoopewa sana Kwa kupasua anga za mbususu, je wana utofauti gani wengine kiasi kwamba wanakuwa na utisho Kwa majirani Zao wenye wake.
Wana pepo gani Mtambuka kuwazidi wengine, au wana mahaba yenye mnyumbuliko wa aina gani?
Tujadili hili kama lipo au kama ni uzushi tuwasafishe hawa mabaharia wenzetu ili nao wapewe taswira ya majirani wema
Tuendelee kuwaombea wenye kundi la wana mtandao wanaoimiliki Tanzania kwa sasa.
Naelekea Sonni Lushoto nikapate maoni ya wazee kuhusu Mungu wa Bumbula alieoa mama yetu wa Kihaya.