Hivi kwanini wanaume tukiingia kwenye mahusiano na wanawake wanaotuzidi umri tunazama sana kimapenzi?

Hivi kwanini wanaume tukiingia kwenye mahusiano na wanawake wanaotuzidi umri tunazama sana kimapenzi?

Bro!
That was not love at all
You were obssesed with her.

You were such a simp my brother.

Sababu kuu ya yeye kukukataa ni hii.
YOU WERE NOT MAN ENOUGH FOR HER

Sijaona baba kwenye hii picha yako?

Ni mama na dada plus you were hanging around with your sisters friends at a party?
Is this why you are a simp?

Naamini mambo yamebadilika sasa na ulijifunza kitu my brother.

Ni upumbavu mtupu na kutokujielewa

Mwanaume kuwa submisive kwa mwanamke aliyekuzidi umri.

Kwakweli mjitafakari(mental illness is real)
I thought ni mimi tu ndo niliyenotice hiki...Mbaya zaidi at 25 alikua na tabia za ajabu na kijinga hivyo wakati ni mtu mzima kabisa...Only explanation i can accept ni hiyo,mental issues!.I think ndo maana huyo manzi alitemana nae chap.
 
Dah mkuu Your Friendly Narcissist umenikumbusha Mzungu wangu mbali sana mwaka 2017 mkoa X mida ya lunch nipo na watoto wa Aunt yangu kwenye mgahawa flan hivi wa hadhi yake. Ule ubize wa kihandle vurugu za madogo nageuka upande wangu wa kushoto nakutana na sura ya mama wa kizungu umri wake unaonyesha she's matured enough ila ana kasura flan hivi huchoki kumuangalia. Binafsi nilivutiwa nae aisee nikatamani nipate hata nafasi ya kumpungia mkono ila alikuwa bizee na mishe zake kwenye laptop yake huku akipata menu yake taratibu.
Mhuni sinaga dogo na ninavopenda uchokozi hapa ndo mahala pangu, nikatafuta mbinu ya kivita fasta ili nimfikie jimama la kizungu walau nipate attention yake. Wazo likanijia chap nimtumie waiter aliekuwa akihudumu meza yetu. Nikachomoa peni na karatasi kwenye notebook yangu nikamwandikia "AM NOT REALLY GOOD IN WOMEN'S OUTFITS BUT AM PRETTY SURE U ROCK IT" nikamng'ata sikio waiter na tip yake nikampa.
Kile kimemo kilimfikia mhusika akafurahi na kuangalia upande nimekaa, akachukua peni yake akajibu ; "THANKS MUCH BIG DADDY, U LOOK SWEETY WITH YO KIDS AROUND U"
Tobaaa.. nshakuwa biggy daddy tena!? Au kwa vile kampani ya Hawa madogo anahisi ni WA kwangu!? Akili ikavurugika kdgo nisijue cha kujibu, mhuni nikachukua changamoto kama fursa... hapo kwenye ubiggy dady natembea nako huko huko nisionekani kiben 10.

Ntarudi kuwapa muendelezo

Oya mzee rud bac nimeipend hii post yako
 
Kuanzia leo msiwapopoe mawe wasichana wadogo wanaotoka na wababa, wanapata same treatment kama mnazopata nyie, tofauti ni kuwa wababa show zao sio kama za vijana.

Nyie wote ni wale wale, msisemane , mpendane na muombeane 😀😀
 
Kuanzia leo msiwapopoe mawe wasichana wadogo wanaotoka na wababa, wanapata same treatment kama mnazopata nyie, tofauti ni kuwa wababa show zao sio kama za vijana.

Nyie wote ni wale wale, msisemane , mpendane na muombeane [emoji3][emoji3]
Hatuwapondi mawe bali tunatoa tahadhari maana soko lao liko limited to short time, mwanaume anaweza hang out na mashangazi weee akichoka anaoa kabinti kabichi na maisha yakaendelea

Sasa kwa hawa mabinti wadogo at early 20s wanashinda na wazee wakati ndio time ya kutengeneza bond ya mahusiano, wakifika 30s' wanaanza kuhaha kutafuta ndoa na watu sahihi inakuwa too late wanageuka kuwa mashanganzi walezi wa wana

Kila upande una athari tatizo ni ukubwa wa athari kwa pande hizo.
 
Sahihi.
 
I thought ni mimi tu ndo niliyenotice hiki...Mbaya zaidi at 25 alikua na tabia za ajabu na kijinga hivyo wakati ni mtu mzima kabisa...Only explanation i can accept ni hiyo,mental issues!.I think ndo maana huyo manzi alitemana nae chap.
Ahsante brother.
Wengine waliamua kukaa kimya waone watu wakijiexpose humu.

Mental illness is real.
 
Habari zenu wana JF.

Nitajaribu kuifupisha kadri niwezavyo ili nisiwachoshe, sitaingia kweny details sana.

Kuna kipindi wakati bado nipo chuo nilibahatika kuingia katika mahusiano na mrembo mmoja aliyenizidi sana umri, wakati huo nilikuwa nina miaka 22, yeye alikuwa ana miaka 38, Aisee nilimpenda sana.

Dada yangu ndo aliyetukutanisha, ilikuwa hv, sister alikuwa na birthday party, just a small gathering, alialika marafiki zake wa kazini na mashoga zake wengine, kiujumla nahic hatukuzidi 15, so mm kama dogo la mwisho kweny familia mzee wa kutumwa tumwa ilibidi nifike mapema eneo la tukio nihakikishe mambo yanaenda sawa ili the boss lady awe na amani. Bac marafiki zake walipofika sister akanitambulisha kwa marafiki zake, walifurahi sana kuniona, walisema sister ananiongeleaga sana.

Kweny hio party ndo nikakutana na huyo mrembo, alikuwa ni rafiki wa sister wa kazini, hakuwa muongeaji sana, alikuwa mkimya na alionekana kama hana furaha kama wenzake, mara ya kwanza kumuona nilivutiwa nae sana, nilipenda sana sura yake(face ratio) ilivokaa.

Bac nikakusanya ujasiri nikamfata, haikuwa rahic kuongea nae cause aliniona kama namkera but kadri tulivozidi kuongea nikagundua mambo aliyokuwa anapenda nikanzisha topic za hayo mambo nikaanza kuona mood yake inaanza kubadilika akawa mchangamfu.

Bac tukabadilishana namba kwa kisingizio kwamba nataka nijifunze vitu kutoka kwake, it was silly but it worked, tukawa tunachat kawaida tuu siku zikasogea, alikuwa mpenzi sana wa series, bac nilikuwa nampa recommendations kulingana na taste yake, alifurahi sana kukutana na mtu anayemwelewa na anayejua anapenda kitu gani, sio tuu kwenye series but hata kwenye maisha ya kawaida mawazo yetu yalikuwa yanaendana sana, our connection was strong, ilifika kipindi tukazoeana sana tukawa tuna chat kama vile watu tuliozeana kwa muda mrefu, lakini sikusita kumwambia jinsi gani alivyokuwa mrembo na alivonivutia toka siku ya kwanza kweny party, alikuwa anacheka sana nikimwambia, akaanza kidogodogo kunambia mambo yake personal, alikuwa na mtoto mmoja wa kike mdogo na alikuwa ameachana na mme wake.

Nilikuwa namwomba tukutane mara kwa mara, some days alikuwa anakubali, some days alikuwa anakataa, lakini siku alizokubali tukutane tulipiga story sana, kumbe ni muongeaji mzuri tuu mm nilikuwa kazi yangu kusikiliza kwa makini na kuongeza comments zinazofanya mada iwe entertaining, uzuri topic alizokuwa anaongelea nilikuwa familiar nazo kwaio alikuwa ana enjoy sana kuongea na mm, I was very supportive to her, akihuzunika nahuzunika nae akifurahi nafurahi nae, alinambia kwann kaachana na mme wake, mme wake was abusive to her alikuwa anampiga, akaona isiwe kesi wakaachana, tuli bond sana na sikuwa na woga wa kumshika, I broke the touch-barrier very confidently hadi alishangaa, mwanzoni nilikuwa nikimshika kiuno alikuwa anaondoa mkono wangu but badae akazoea akawa ananiacha tuu. Nikijaribu kum-kiss she showed no resistance so I guess we were kinda dating but nikimuuliza "are we dating" alikuwa anajibu "No" but haikunisumbua because being close to her mattered to me the most, I loved her very much, alikuwa ana macho mazuri mno.

Sasa kuna siku alinambia amenunua TV kubwa na alikuwa ana mpango wa kuiweka ukutani sema fundi wake anayemtumiaga amesafiri, nikamwambia sawa haina shida ntakuja kukuekea, nilikuwa nina experience na hio activity kwaio haikuwa na shida, nilipofika home kwake nikachukua vile vifaa vya kuekea TV ukutani vilivokuwa kweny boksi lake, nikatoa instruction manual nikaisoma nikajua kila kitu kinachotakiwa kufanyika, bac nikadrill pale ukutani tukasaidiana kuiweka TV ikakaa fresh.

Tulivomaliza pale sikupoteza muda hata kidogo I tried to seduce her to sleep with me but akakataa akanambia hawez kufanya ivo wakati mtoto wake yupo pale home, bac pale nikawa nimehuzunika ila najifanya kama nimepotezea but she knew me, akanambia usijali weekend nitampeleka mtoto akamsalimie baba ake maana kila siku ananisumbua anataka amwone baba ake, unaweza kuja, mi mwenyew nina muda sasa sijakutana na mwanaume, nikamwambia "Sawa haina shida nimekuelewa" tukaachana na hayo mambo tukaendelea na mambo mengine, aisee nilivorudi chuo siku zikawa haziendi nilikuwa naona weekend haifiki.

Hatimaye weekend ikafika, tuli enjoy sana ile weekend tulikuwa hatuna distractions, it felt like heaven...just imagine, some men will kill just to hold the hand of a woman he loves but I got the chance to sleep with the woman of my dreams. She made me feel alive.

Tuliendelea na yale mahusiano but it didn't last long yalidumu kama 4months hv, kuna siku akaniita akanambia "It was nice but it needs to end" niliumia sana aisee, nikamuuliza kwann akaniambia "haya mahusiano hayana faida kwako, yatakuumiza tuu bado una umri mdogo huja experience life kama mm" nikamwambia "nikiwa na ww sihitaji hizo experience, when im with you im happy" alichonijibu hadi leo nikikumbuka naumia sana alisema "No unajidanganya we bado mdogo sana hujui mapenzi ni nn, mi mwenzako miaka miwili ijayo natimiza miaka 40 bado miaka mitano tuu niingie menopause vp unataka Unioe na uzee wote huu?

" Nikamwambia "Ndio umri si kitu kwangu" akacheka then akasema "we bado hujakua vizur hujui mambo mengi ndo kwanza una 22 hujui hata unataka nn maishani, bado hujajitambua, this needs to end na sio kwa ubaya nakuonea huruma unapoteza muda wako kwangu, mm jua kwangu lishazama ww ndo kwanza linachomoza you have bright future ahead of you, tumetofautiana miaka 16 mingi sana naweza hata kukuzaa tafuta girls wa umri wako" aisee niliinama chini tuu sikuwa na nguvu hata ya kumwangalia, I loved her as much as man can love a woman, nilihisi moyo utapasuka but sikutoa chozi, aliendelea kusema "I like you very much but for your sake bora iwe hivi ili usije kuumia zaidi"

Niliondoka pale nikarudi chuo nikapanda kitandani, ule usiku usingizi ulikuwa hauji kabisa kila nikimuwaza machozi yanatiririka nilijaribu kumchukia lakini wapi nilizidi kumpenda zaidi, baada ya muda kidogo alikata mawasiliano na mm. Dada yangu hadi leo hajawahi kujua nilikuwa kweny mahusiano na mmoja wa marafiki zake. Nilikuwa namuwaza sana hadi kuna kipindi nikawa namuota.

ASIKUDANGANYE MTU, OLD IS GOLD.

I love older women, wana qualities nyingi zinazonivutia, sio kwamba sipendi girls of my age but I find older women fascinating.

Kama ulishawahi kuwa na mahusiano na mwanamke aliyekuzidi umri toa comment hapo chini na tuelezee ilikuaje??
unapenda midondoko kwa wasimbe.
 
Nilikuwa Chuo mwaka wa Pili, mtaani nilikutana na mama muuza uji. Alikuwa ni Mnyarwanda anaitwa Linah, kwa ujumla alikuwa mrembo sana(black beautiful, hips kubwa, tako laini na kimo chake ni Kama futi tano na nusu, macho yake yalikuwa kama ya mdoli/katuni wa kwenye TV.

nilikunywa kikombe kimoja, uji ulikuwa mtamu sana, nikamuomba namba ili nikihitaji aniletee.

Baadae tulizoeana sana nikaja kugundua Ni mjane wa miaka 40 Mwenye watoto watatu, mkubwa ni msichana wa miaka 14, Wakati huo Mimi nilikuwa na miaka 25.

Tuliingia kwenye mapenzi akawa anavutiwa sana na mboo yangu ya kimaasai(mimi ni maasai na huwa tunatahiriwa kwa mtindo tofauti Na waswahili, Sasa yeye akawa anasema Ni tamu sana). Alikuwa na wivu sana, Mara kwa mara alikagua simu yangu na hata akikuta mawasiliano ya kawaida na wasichana alikuwa anasema "kaa mbali nao maana mazoea yanaanzaga hivi baadae mtatongozana".

Hadharani na wakati mwingine faraghani Alipendelea kuniita"mwanangu" hivyo watu wengi walidhani labda Ni mama mdogo wangu au shangazi. Alikuwa ananivua nguo ananikagua mwili mzima akiona hata kovu dogo anauliza " hapa ulifanyaje?". Alininyoa, Aliniogesha, Alinivalisha na kunipikia chakula Kitamu.

Alipofahamu kuwa napenda chapati, aliniandalia chapati kwa kutumia unga wa ngano, maziwa fresh, blue band na viungo vyenye harufu ya kuvutia sana, kwa ufupi chapati zilikuwa Kama za Serena hotel.

Kila baada ya kumchapa aliiosha rungu yangu(alikuwa haniruhusu nishike kabla hajaosha, anasema "usishike uchafu mwanangu mzuri"). Akishanisafisha alinikumbatia na kunishukuru na kunipa pole kwa kazi. Baada ya hapo aliniambia nipumzike aniandalie chakula. Wakati anaanda chakula alipendelea kuvaa shati langu kubwa na huku chini alikuwa mtupu.

Kwahiyo wakati mwingine akiwa anapika nilikuwa naamka naenda kusimama nyuma yake na kumshika shika hips na tako lake laini huku nikimuambia yupo vizuri, yeye alinijibu "ni yakwako yote mwanangu mzuri, enjoy, yashike utakavyo". Basi Mimi wakati mwingine nadata kabisaa naanza vurugu Hadi anaahirisha kupika tunarudi raund nyingine ya pambano.

Wakati mwingine aliniambia niweke mziki ninaoupenda anichezee, alafu anaukalia ukuni alafu anaukatikia kulingana na biti na mdundo wa mziki huku mikono yangu ikishika_shika kiuno, tako lake laini na hips kubwa. Huyo mama alifanikiwa kuiteka akili yangu kiasi kwamba hata wasichana wa rika langu sikuwazingatia tena

Kutokana na kwamba nilikuwa mwanafunzi, Kwenye Mahusiano yetu Sikuwa na la maana la kumpa Ila yeye alinigawiwa vyombo vya ghetto na baada ya kuhitimu alinipa mbuzi wawili wa kisasa akasema" najua maasai wangu unapenda maziwa ya mbuzi, wachikue Hawa majike wawili, wakipandwa na beberu wa kienyeji watazaliwa machotara ambao watahimili Hali ya hewa yeyote na watatoa maziwa mengi kwaajili yako mwanangu" . Kwa ufupi alinilea Kama Mtoto wake.

Baada ya masomo nilirudi nyumbani, mawasiliano ya alipungua Hadi yakaisha.

Kwa kuhitimisha, Ni kweli wanaume tukiingia kwenye mahusiano na wanawake wanaotuzidi umri tunazama sana kimapenzi kwa sababu ya higher level of care and respect tunayopewa ukilinganisha na Hawa wasichana washenzi, ambao wanataka Queen- level treatment wakati wao hata ubunifu kwenye Mahusiano hawana. Kazi ni kupiga mizinga tu shwaini.
Hahahaah eti shwaini. Nimecheka
 
Habari wakuu, Huu ni Muendelezo....

Baada ya kukata mawasiliano na mm, hali yangu haikuwa nzuri, i wasn't in the mood to do anything, Mm ni mpenzi sana wa documentaries za wildlife, scince and space, hadi hizo nikaacha kuangalia, i was miserable, ilikuwa kipindi kigumu sana kweny maisha yangu.

Niliumwa vibaya sana hadi nikalazwa kama siku mbili hv, palepale hospitali ya chuo muhimbili, mama alivokuja kunitembelea alihuzunika sana, sio tuu kwa sababu nililazwa but kwa sababu doctor alimwambia mwanao anasumbuliwa na stress sana mwili wake unaishiwa nguvu, mama alinisihi sana nimweleze ninasumbuliwa na nn lakini sikumwambia kitu, nilimwambia tuu masomo magumu.

Baada ya kupona nilipunguza kuongea na watu, sikuwa mchangamfu kama hapo awali, mshkaji wangu wa karibu ambaye nilikuwa nakaa nae room moja, nasoma nae kozi moja na tulikuwa pia tunasali dhehebu moja alihisi siko sawa, Alinisisitiza sana nimweleze nn kimenitokea, nilimwambia kila kitu From A to Z, aliumia sana kwa sababu ana experience na haya maumivu, yeye mwenyew alishawahi kumpenda mdada flani huko nyuma but mahusiano yao hayakuisha vizur na alishawahi kuniadisia siku za nyuma.

Bac yule mshkaji wangu alikuwa haniachi nibaki mwenyew, kila sehemu niendako tuliongozana(of course ilikuwa rahic muda wote kuwa wote cause ratiba zetu zilikuwa zinafanana sana), aliogopa naweza kujidhuru, I'll admit sikuwa sawa kiakili but mawazo ya kujidhuru sikuwa nayo, but my friend didn't take any chances, hakuniacha room mwenyew, alikuwa akijitahidi kunichangamsha sana, baada ya muda hali yangu ikarudi kawaida.
A FRIEND IN NEED IS A FRIEND INDEED, Thank you brother.

Wakati tukiwa bado kweny mahusiano tulitumia Gmail kuchat mambo yetu sensitive, normal text zilikuwa za kujuliana hali tuu, niliacha kumtafuta yule mrembo because alinambia nisifanye hivo nitamkwaza, and the last thing I wanted to do is to make her sad, I never wanted that, alinambia niheshimu maamuzi yake na nikubaliane na hali halisi, tuliheshimiana sana, alinambia "Huumii peke yako hata mm naumia, sijawahi pata mtu tunaye bond kama mm na ww, inaniumiza na mm pia".
Nilimsihi bac hata tuwe marafiki, akacheka then akasema "tutaumizana zaidi, una hisia kali sana kwangu, ukaribu na mm utakuongezea machungu na mm sitaki nikuone unaumia, you're young you need to enjoy life" nakumbuka nilimjibu "there is nothing to enjoy about my life"

Ilipita miezi hatukuwasiliana, hali yangu ikaimarika, sasa kuna siku sister akaniita ofisini kwao nimsaidie kufanya mambo flani, nikaenda kumsadia chap ili nirudi chuo, baada ya kumaliza nikatoka nje ya jengo ili niondoke, nilikutana na yule mrembo bhana uso kwa uso, aisee mapigo ya moyo yalienda kasi sana, alishtuka kuniona, tulisalimiana vizur tuu na kujuliana hali, aliniuliza kulikoni nikamwambia "nimekuja kumsaidia sister na baadhi ya vitu" akasema "Sawa haina shida", tukaagana pale nikaondoka, hakutaka kuongea na mm sana na nilimwelewa.

Njiani nilimuwaza sana hadi nafika chuo, ni kama vile nimejitonesha kidonda, jioni ya ile siku nilipokea an email notification, kuifungua ni yule mrembo alikuwa amenitumia email anataka tuonane, alisema pc yake inashida siku hz ipo slow sana, aisee nilifurahi sana, I thought maybe she wanted me back, jioni ya kesho yake tulikutana sehemu flani, nikachukua pc yake nikafanya madude yangu pale na kumpa ushauri kidogo juu ya tatizo la pc ili lisitokee tena.

Aliniangalia sana usoni kwa huruma wakati naongea hadi niliona aibu, alinambia "I miss you so much" nikamjibu "well the feeling is mutual", alinambia kwa msisitizo sana "kusema ukweli our connection was strong na ulikuwa unanisaidia mambo mengi sana ya kila siku ambayo bila ww ilibidi niajiri watu niwalipe hela, ila ww ulikuwa unanifanyia bure ahsante sana, nimemiss sana kuongea na ww, ulikuwa unanielezea mambo mengi ambayo nilikuwa sifahamu kuhusu nature and science stuff, yalinivutia sana", kiufupi i was very resourceful to her.

Tuliongea mambo mengi sana kuhusu maisha, alinambia "Love is sacrifice, kama hauko tayar ku-sacrifice you did not love, just imagine tungeendelea na yale mahusiano kwa mwaka, tungezidi kupendana zaidi na ingekuwa ngumu kuachana, imagine tena mahusiano yetu yamedumu miaka miwili, ingekuwa ngumu zaidi, bora tulivo stop mapema, mfikirie mama ako angejua una mahusiano na mwanamke aliyekuzidi miaka 16, asingefurahi kabisa, na mm ni mama naelewa".

Kusema ukweli i understood her point of view, nilimwambia "sawa haina shida its all behind us". Nilimweleza sitakuja kupenda mwanamke mwingine kama ninavyompenda yeye, she will always be special to me, alicheka sana na kunambia nisiseme hivo namuumiza.
Nilimjulia hali mtoto wake alisema anaendelea vizur, mwishoni alinambia anahamishwa anapelekwa branch ya mwanza anaondoka wiki ijayo, anahitajika mtu akaongeze nguvu huko.
Nilimtakia kila la kheri, tukaagana nikaondoka.

Tuliendelea kuchat kwa email mara moja moja kwa kusuasua, likizo alirudi dar nilimwomba tukitane, alikuwa anakata alisema "I need to move on" bac tukawa tunachat hivohivo kwa email hadi mawasiliano yakakatika.

Her name was Rachel and I was Head over heels in love with her.

HITIMISHO.
kwahuyo demu unaonekana huna vigezo vya mashangazi wavitakavyo.Sema ulimuwin wakati yuko na upwiru.Akili ilivyomrejea akona hapa sikuwaza kwa akili ni nyege tu zilikuwa zinanisumbua.

Amini kwamba kama huyo mshangazi ungekuwa unamkojoza vilivyo bado ungekuwa unamchanua kama kawaida hata huko Mwanza ungekuwa unatumiwa ticket go n teturn na posho unakula.

N:B#1.Demu/Mwanamke/Mshangazi unatakiwa akupende sana wewe kuliko unavyompenda yeye.

2.Ukiwa kwenye mahusiano unatakiwa ujiandae kwa lolote muda wowote.Demu kabla hajasema uachane nae wewe kama spy unatakiwa uwe ushajua sign kitambo,akija na hilo wazo wewe tayari kitambo ulishakuwa na jibu lake.

Mwanamke akikwambia tuachane.Jibu lako ni "Sawa".Au kakutxt unakausha tu hujibu chochote.Akipiga kutaka kusikia kutoka kwako unasema naheshimu maamuzi yako,ukiona anajichekesha oh nilikuwa nakupima kama kweli unanipenda...na wewe unachange gear angani na mimi nilikuwa nakutania mpenzi wangu,mimi niachane na wewe mrembo wa moyo wangu!

Muhimu kukaa kimaster muda wote na chochote,ukizingatia hayo mapenzi hayawezi kukutesa kamwe.
 
nikamjibu thanx too.. who knows may be next WEEKEND could be me and u, just US. how abt that? kumbuka hapo mhudumu analipwa kwa Kila route anayoenda, msiogope ni 2K namshikisha kwa route . I did it on purposely.. hela yangu haiendagi Bure aroooh.
kimemo kikamfikia mlengwa, namtizama kwa jicho la kuibia nione atareact vp.
bi mkubwa kasoma Kile kimemo akaishia kusmile na kutikisa kichwa Kisha akarudi kwenye kimemo akajibu I WOULD LOVE THAT..
this time mhuni sikuwa na mambo mengi nikamchorea namba zangu kwenye kimemo, mhudumu akafanya kazi yake.. Mimi huyoo bizee na watoto wang, nshapewa jina la biggy daddy mbichwaaa huoo.
Hapo kwenye digits zangu naomba niwaweke sawa vijana wenzangu.. najua 90% ya vidume mngeomba nyie namba kwa yule bi mkubwa.. for me it was totally different.. I had to behave like a gentleman, not a classic man. nilifanya vile ili kumuonyesha kwamba whatever happens am good with it, I have got nothing to lose.. whether u find me or not life goes on as long as am already put my proposal on the table and u accept it so it's up to wewe upige hatua unifate.
hatukuchukua muda sana ikabidi niwachomoe madogo twenzetu home. tukatoka zetu mdogo mdogo sikutaka hata kumuangalia nipo bizee naelekea kwenye msubaru wang namba B umechoka balaa, ingine ikiwa on basi mikelele flan hivi ya kinyama lazma ugeuke. mbichwaa huo barabaran kama gari langu vile kumbe nilipewa na anko nipashe injini, mda mrefu lipo tu limepaki.

narudi mida ya saa tatu wanangu niwape story yaliyojiri, usiache kuLike ili nikumention iwe rahisi kupata updates za kipande kijacho
princeNathan
 
Habari zenu wana JF.

Nitajaribu kuifupisha kadri niwezavyo ili nisiwachoshe, sitaingia kweny details sana.

Kuna kipindi wakati bado nipo chuo nilibahatika kuingia katika mahusiano na mrembo mmoja aliyenizidi sana umri, wakati huo nilikuwa nina miaka 22, yeye alikuwa ana miaka 38, Aisee nilimpenda sana.

Dada yangu ndo aliyetukutanisha, ilikuwa hv, sister alikuwa na birthday party, just a small gathering, alialika marafiki zake wa kazini na mashoga zake wengine, kiujumla nahic hatukuzidi 15, so mm kama dogo la mwisho kweny familia mzee wa kutumwa tumwa ilibidi nifike mapema eneo la tukio nihakikishe mambo yanaenda sawa ili the boss lady awe na amani. Bac marafiki zake walipofika sister akanitambulisha kwa marafiki zake, walifurahi sana kuniona, walisema sister ananiongeleaga sana.

Kweny hio party ndo nikakutana na huyo mrembo, alikuwa ni rafiki wa sister wa kazini, hakuwa muongeaji sana, alikuwa mkimya na alionekana kama hana furaha kama wenzake, mara ya kwanza kumuona nilivutiwa nae sana, nilipenda sana sura yake(face ratio) ilivokaa.

Bac nikakusanya ujasiri nikamfata, haikuwa rahic kuongea nae cause aliniona kama namkera but kadri tulivozidi kuongea nikagundua mambo aliyokuwa anapenda nikanzisha topic za hayo mambo nikaanza kuona mood yake inaanza kubadilika akawa mchangamfu.

Bac tukabadilishana namba kwa kisingizio kwamba nataka nijifunze vitu kutoka kwake, it was silly but it worked, tukawa tunachat kawaida tuu siku zikasogea, alikuwa mpenzi sana wa series, bac nilikuwa nampa recommendations kulingana na taste yake, alifurahi sana kukutana na mtu anayemwelewa na anayejua anapenda kitu gani, sio tuu kwenye series but hata kwenye maisha ya kawaida mawazo yetu yalikuwa yanaendana sana, our connection was strong, ilifika kipindi tukazoeana sana tukawa tuna chat kama vile watu tuliozeana kwa muda mrefu, lakini sikusita kumwambia jinsi gani alivyokuwa mrembo na alivonivutia toka siku ya kwanza kweny party, alikuwa anacheka sana nikimwambia, akaanza kidogodogo kunambia mambo yake personal, alikuwa na mtoto mmoja wa kike mdogo na alikuwa ameachana na mme wake.

Nilikuwa namwomba tukutane mara kwa mara, some days alikuwa anakubali, some days alikuwa anakataa, lakini siku alizokubali tukutane tulipiga story sana, kumbe ni muongeaji mzuri tuu mm nilikuwa kazi yangu kusikiliza kwa makini na kuongeza comments zinazofanya mada iwe entertaining, uzuri topic alizokuwa anaongelea nilikuwa familiar nazo kwaio alikuwa ana enjoy sana kuongea na mm, I was very supportive to her, akihuzunika nahuzunika nae akifurahi nafurahi nae, alinambia kwann kaachana na mme wake, mme wake was abusive to her alikuwa anampiga, akaona isiwe kesi wakaachana, tuli bond sana na sikuwa na woga wa kumshika, I broke the touch-barrier very confidently hadi alishangaa, mwanzoni nilikuwa nikimshika kiuno alikuwa anaondoa mkono wangu but badae akazoea akawa ananiacha tuu. Nikijaribu kum-kiss she showed no resistance so I guess we were kinda dating but nikimuuliza "are we dating" alikuwa anajibu "No" but haikunisumbua because being close to her mattered to me the most, I loved her very much, alikuwa ana macho mazuri mno.

Sasa kuna siku alinambia amenunua TV kubwa na alikuwa ana mpango wa kuiweka ukutani sema fundi wake anayemtumiaga amesafiri, nikamwambia sawa haina shida ntakuja kukuekea, nilikuwa nina experience na hio activity kwaio haikuwa na shida, nilipofika home kwake nikachukua vile vifaa vya kuekea TV ukutani vilivokuwa kweny boksi lake, nikatoa instruction manual nikaisoma nikajua kila kitu kinachotakiwa kufanyika, bac nikadrill pale ukutani tukasaidiana kuiweka TV ikakaa fresh.

Tulivomaliza pale sikupoteza muda hata kidogo I tried to seduce her to sleep with me but akakataa akanambia hawez kufanya ivo wakati mtoto wake yupo pale home, bac pale nikawa nimehuzunika ila najifanya kama nimepotezea but she knew me, akanambia usijali weekend nitampeleka mtoto akamsalimie baba ake maana kila siku ananisumbua anataka amwone baba ake, unaweza kuja, mi mwenyew nina muda sasa sijakutana na mwanaume, nikamwambia "Sawa haina shida nimekuelewa" tukaachana na hayo mambo tukaendelea na mambo mengine, aisee nilivorudi chuo siku zikawa haziendi nilikuwa naona weekend haifiki.

Hatimaye weekend ikafika, tuli enjoy sana ile weekend tulikuwa hatuna distractions, it felt like heaven...just imagine, some men will kill just to hold the hand of a woman he loves but I got the chance to sleep with the woman of my dreams. She made me feel alive.

Tuliendelea na yale mahusiano but it didn't last long yalidumu kama 4months hv, kuna siku akaniita akanambia "It was nice but it needs to end" niliumia sana aisee, nikamuuliza kwann akaniambia "haya mahusiano hayana faida kwako, yatakuumiza tuu bado una umri mdogo huja experience life kama mm" nikamwambia "nikiwa na ww sihitaji hizo experience, when im with you im happy" alichonijibu hadi leo nikikumbuka naumia sana alisema "No unajidanganya we bado mdogo sana hujui mapenzi ni nn, mi mwenzako miaka miwili ijayo natimiza miaka 40 bado miaka mitano tuu niingie menopause vp unataka Unioe na uzee wote huu?

" Nikamwambia "Ndio umri si kitu kwangu" akacheka then akasema "we bado hujakua vizur hujui mambo mengi ndo kwanza una 22 hujui hata unataka nn maishani, bado hujajitambua, this needs to end na sio kwa ubaya nakuonea huruma unapoteza muda wako kwangu, mm jua kwangu lishazama ww ndo kwanza linachomoza you have bright future ahead of you, tumetofautiana miaka 16 mingi sana naweza hata kukuzaa tafuta girls wa umri wako" aisee niliinama chini tuu sikuwa na nguvu hata ya kumwangalia, I loved her as much as man can love a woman, nilihisi moyo utapasuka but sikutoa chozi, aliendelea kusema "I like you very much but for your sake bora iwe hivi ili usije kuumia zaidi"

Niliondoka pale nikarudi chuo nikapanda kitandani, ule usiku usingizi ulikuwa hauji kabisa kila nikimuwaza machozi yanatiririka nilijaribu kumchukia lakini wapi nilizidi kumpenda zaidi, baada ya muda kidogo alikata mawasiliano na mm. Dada yangu hadi leo hajawahi kujua nilikuwa kweny mahusiano na mmoja wa marafiki zake. Nilikuwa namuwaza sana hadi kuna kipindi nikawa namuota.

ASIKUDANGANYE MTU, OLD IS GOLD.

I love older women, wana qualities nyingi zinazonivutia, sio kwamba sipendi girls of my age but I find older women fascinating.

Kama ulishawahi kuwa na mahusiano na mwanamke aliyekuzidi umri toa comment hapo chini na tuelezee ilikuaje??
Umenikumbusha jamaa yangu mmoja yeye alikuwa na mahusiano ya siri kama hayo na rafiki wa mama yake. Basi hadithi ilikuwa kama yako siku aliyoambiwa sasa basi alilia sana. Akiulizwa na mama yake hana jibu.
 
Nilikutana naye nikiwa na 27 yeye 40
Ni mfupi kiasi fulani ana unene wa kuzaliwa nao
Ana upendo wa kweli
Hana mambo mengi mimi ndiyo nimemfunza mambo mengi sana ambayo hakuwa akijua

Amemwagika maji kwa mara ya kwanza akiwa na mimi tena mengi sana yanaweza kufika hata lita tatu na imemshangaza na kuhisi labda ana matatizo coz hakuwa anajua kwamba kuna kitu kama hicho duniani

Nilimtoa hofu na akatulia
Na akawa anapenda sana kutolewa maji

Umeshawahi kumfanya mwanamke aendelee kukojoa hata baada ya kumaliza sex
Nilimkutanisha nayo hiyo

Ukiwa fundi wa kumuandaa mtu na umuandae kwa lisaa lizima alafu msex mkimaliza sikilizia
Utaona mtu anakaa kidogo anavibrate tu
Akikaa dk10 ,15 unamsikia
Utasikia umenifanyaje wewe

Mambo mengi mengi yalifanya anipende sana kwa hiyo nilienjoy yale mahusiano

Lakini na uhakika anaumia zaidi huko alipo gap langu litamchukua miaka mia kumpata wa kuliziba
Ila kinachoniumiza mimi ni kwamba nimetembea na wanawake wanawezafika hata mia mbili sijakutana na mwanamke mwenye mzigo kama ule

Ile kitu ni fungu yani Zigo limevimba kama ni kitumbua kingeuzwa labda elfu 2

Huwa naumia sana nikiwaza kwa sasa kuna mtu anafanya yale niliokuwa nafanya
Imagine ex wake waliachana miaka mitano imepita lakini akipata mda huwa anasumbua warudiane na ana haki kiukweli
Sema mwanangu umetupiga, maji lita tatu unayajua kweli mzee au hata vikombe vitatu sidhani kama huwa yanafika.

Ngoja waliowahi kuwatoa wanawake maji waje waseme
 
Mental illness is real.
Naona hii ndo kauli mbiu yako

Ebu nijibu swali, mm ambaye nimeandika tuu story kwa kiufupi sana bila kuelezea mambo kiundani na ww ambaye umesoma tuu story ilioandikwa na mm uka jump to conclusions ukaja na matusi yako, unatukana bila sababu yeyote, nani ana matatizo ya akili??

Maybe hujui nn maana ya matatizo ya akili, learn things first before they become part of your vocabulary brother.
 
Wakuu hata mimi nimenasa kwa mshangazi sijui natokaje. Yeye kanizidi miaka minne, mimi natamani hata siku moja nimkimbie lakini nashindwa kabisa. Hana mambo ya kitoto treatment yake ndo inanifanya nisifikirie pisi nyingine.Naombeni mbinu namuachaje huyu, na mtoto anaye mmoja tuu.

Miaka mi4 huyo ni age mate punguza wenge.
 
Back
Top Bottom