Hivi kwanini wanaume tukiingia kwenye mahusiano na wanawake wanaotuzidi umri tunazama sana kimapenzi?

Kamwene , hongera Kwa huo uzoefu
 
Hongera dear.Ila mwanaume hali hela yangu.
 
Dah! Aisee yaani ilinikuta hii heeee nililia kama mtoto japo story yangu ni tofauti kidogo ila yule aliyemtelekeza kumbe alienda kusaka maisha alipozipata akarejea kuja kubeba familia

Aiseeeee aiseeee acha tu maumivu Yale ya moyo na ubaya sasa uchumi wangu wakati huo ulikuwa ni wakusaport msosi tu nasio kufanya mambo ya kueleweka.......
 
Vile unapenda kuandika story huwa nikiona story maisha yako huwa nachukulia kama story nyengine tu, nothing serious
 
Hongera dear.Ila mwanaume hali hela yangu.
Yule chalii alikua ananiotea sana, yaani haendi direct kua anataka amount fulani, ataweka proposal mezani, atazunguuuuka, like hii project bebii tunatoka, sijui hivi sijui vile, unaingia line, unaona kabisa why nisimsapoti wakati ipo ndani ya uwezo wangu, for me I was suporting a man I truly loved, kwa upande wake I was just another souce of income, maana zilipokata alianza nipiga matukio live bila chenga, nilimfumania sana iko kipindi, like 'yo bi mkubwa ,ka vipi sepa ....si huna jipya yaani kama ivyooo'....halafu ndio nikawa mempenda yaani sielewi kabisa, vile vipigo ndio vilifanya familia iingilie kati, nashukuru Mungu nilivuka hapo, niseme tu mapenzi na mimi tuko na kabiff fulani ivi, hayajawahi niacha salama daaah...hopefully nitakuja kupata mtu tukaishi poa one day...that I truly wish....
 
To yeye njoo uone wenzako huku😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…