Hivi kwanini wanaume tukiingia kwenye mahusiano na wanawake wanaotuzidi umri tunazama sana kimapenzi?

SHOW ni kitu cha msingi so wapi tunaweza pata hii experience ukitoa through womanising
 
๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜Mashangazi sio poa
 
Hii ilikuwa chai bhn, haha
Cc cocastic
 
Hii CHAI kabisa hii, haha
 
TITO 2:10 NA KUENDELEA,
10wasiwe waibaji; bali wauonyeshe uaminifu mwema wote, ili wayapambe mafundisho ya Mwokozi wetu Mungu katika mambo yote. 11Maana neema ya Mungu iwaokoayo wanadamu wote imefunuliwa; 12nayo yatufundisha kukataa ubaya na tamaa za kidunia; tupate kuishi kwa kiasi, na haki, na utauwa, katika ulimwengu huu wa sasa; 13tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Kristo Yesu, Mungu mkuu na Mwokozi wetu; 14ambaye alijitoa nafsi yake kwa ajili yetu, ili atukomboe na maasi yote, na kujisafishia watu wawe milki yake mwenyewe, wale walio na juhudi katika matendo mema.
 
Kuna limke la askari limoja aloo, age disparity yake na mimi ni kama 12, yaani nilizama mpaka nikawa naomba Mungu mumewe afe nimuoe, nashukuru jamaa mwingine alianza kumlomba nikashindwa vumilia nikasepa, amgeniuwa na yale mapenzi, kataa ndoa
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] umetisha

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
๐—›๐—ฎ๐—ธ๐—ถ๐—ธ๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐˜‚๐—บ๐—ฒ ๐˜๐˜‚๐—ป๐—ฎ๐—ฟ๐—ผ๐—ด๐˜„๐—ฎ ๐˜€๐—ฎ๐—ป๐—ฎ.
 
๐—›๐—ฎ๐—ธ๐—ถ๐—ธ๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐˜‚๐—บ๐—ฒ ๐˜๐˜‚๐—ป๐—ฎ๐—ฟ๐—ผ๐—ด๐˜„๐—ฎ ๐˜€๐—ฎ๐—ป๐—ฎ.
Ukijua mapenzi no kurogana nikula goid time wanaoroga ni hawa hawaja fundwa
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Mie walikuwepo ,nakumbuka nusu niharibu ndoa ya mtu nilipagawisha mtu.
Hadi kwake hana hamu. Ni mie nawazwa sana tu.

Nilikuwa 19 bado binti sana nilikutana na mwanakaka age 38 ni handsome balaah white nakumbuka alinipa lift kwenye cruser akanisihi ajue jina mie nilimdanganya kwani simjui.
Baada ya muda tukafall nakumbuka aliniomba sana saa ya lunch nimuone. Alisisitiza hadi nikamwona ni balah kwa sababu zile hisia tu sio za nchii hii ni za kidiplomasia unafurahia tendo hadi utaki achee ni mtaalamu wa mamboo. Ni fire unapoteza ufahamu where your. Ymebakia miguno ya vishuti na mishuti. Ila ubaya alifikia stage was not good at all because it was my first time. So ilikuwa shida kwa upande huo.


Kwasababu mie nilipoingia sikupewa hata muda wakupumzika. Nilifaa kuvamiwa kwa kisses na matomaso ya nguvu za ajabu. Aisee nilijikuta i gave it all yaani nikaona aibu ila imeshatokea na ndio mwanzo wa kuwa free.

Nikaenda hospitali nikapewa huduma ya kwanza and ikawa sawa after 1 to 3 days . Actually ndio alikuwa my first.
THe next month akawa ananitext nakunijulia hali sasa tukaonelea kwa huyo kaka nyumba ingine yake ndio comfortable kumeet. So tukaanza mautundu that guy alikuwa anaujuzi just imagine nimefundwa namaufundi ya tanga ukijumlisha ujuzi plus ujuzi mzee baba akasahau home.

Aisee yule guy alikuwa anajua mpaka inaboa just imagine naenda kwake from ijumaa ijioni to ijumapili afternoon. Mechi zilipigwa kila eneo linaloonekana nisawa tu humo . Njee ndani it was amazing.

Maisha yakasonga sikujua kuwa huyo alikuwa kitu ya mtu. Mama wa mawe . Mie nilijua nikijana tu kumbe chamtu.

Kufumaniwa Day.
Ilikuwa saa tisa chuoni nilifuatwa na mtu nikiwa juu naambiwa best unatafutwa jifiche wamama wanasilaha wanasearch humu school nzima wameanza utalii chini wakisema huyu mwanafunzi anakulaje chakula changu.
Huyo mama hanijui fresh ila alinisaka sana bila mafanikio. Nakumbuka alishuti risasi ovyo ovyo. Na alidai akinikamata halali yake ni risasi ya moyo .

BAada ya wiki yule kaka akadai tumert na safari hii niliogopa kuwa naye why imekuwa naishi kama ndege asiyekuwa na kiota ,kila sehrmu natafutwa sio pachipsi,clubs nilizokuwa naenda.
Hakunipata naalipoona fathrr kamrudia alupotezea tukaachana kiainA japo haikuwa rahisi maana nilimchanganya braaah.

Nilikuja tulia na huyu jamaa hadi 2013 alipoibiwa na mzungu. Ndio hali ya mapenzi niliweka x nikaanza fresh kuwa single lady. Nasihitaji kuwa na mpenzi.
 
Good story

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Hujalala tu jaman flower [emoji254]

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ