Hivi kwanini wanaume tukiingia kwenye mahusiano na wanawake wanaotuzidi umri tunazama sana kimapenzi?

Vip now upo na mtu??

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Ila maisha ya kenya!! Yaonekana ya uhuru sana! No full limitation
 
namu enjoy sana mwanamke aliyenizidi umri
 
Nilikuwa chuo mwaka wa pili kuna dada alikuwa jirani pale mageto, alinizidi miaka takribani 6,alikuwa na watoto wawili na alikuwa alishaachana na mume wake ila watoto hakuwa anaishi nao pale, nilimuomba namba na baadaye nkamchek kumsalmia tu, tukazoeana nkamuomba antembelea pale ndan kwangu kwenye single room akasema atakuja akipata nafasi, siku moja najisomea na washkaji maeneo ya chuo akantumia sms kuwa ana muda so anataka kuja room kunsalmia, dah kwa ugwadu nliokuwa nao nkasema pw njoo, alipofika tkapga stori kdg na sikutaka kuchezea nafasi nkafosi mambo nkapata japo kwa nguvu, aise alichukia kinyama lakn bdae nkamchek nkamuomba msamaha na akaelewe ukawa ndo mwanzo wa mahusiano yetu, aise tulidumu takriban nusu mwaka but i enjoyed a lot, alinicare sana hakupenda kuniona nkiwa nimechukia honestry sijawah kupata mapenz mazito kama yale, after time nilihama na ye alisepa tkapotezana mpk leo huwa namkumbuka sana and sitaman kukutana nae mana naogopa kuisaliti ndoa yangu. And i apreciate old is gold...
 
Mishangazi ya JF mmepewa maua yenu uku
Shida mishangazi ya umu mengi john visomo si mnajua wasomi wa zamani sura zao zilivo chachu
Utamkuta kasokota nywele au kakata alaf kaweka Upacome kichwani wa ugoro
 
A
issues
 
Niacheni na mashangazi mimi
πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…