Hivi kwanini wanaume tukiingia kwenye mahusiano na wanawake wanaotuzidi umri tunazama sana kimapenzi?

Duh! Aisee 🤔
 
Dhambi zote zina uzito sawa! Mungu ni wetu sote.....acha watu waongelee faida na hasara za kuwa na shangazi..
dhambi zote ni dhambi, ila sio sahihi kusema watu waongelee faida za kuwa na mashangazi. kuna faida gani unayotaka kujustify uzinzi?
 
dhambi zote ni dhambi, ila sio sahihi kusema watu waongelee faida za kuwa na mashangazi. kuna faida gani unayotaka kujustify uzinzi?
Mbona hasara hujauliza? Faida zipo Soma huu Uzi wa kutulia, mpendwa kafungue Uzi wako wenye " HASARA ZA UZINZI" maana ulishazinzika weee, Sasa umezeeka unasumbua watu!

Tulia mkuu, punguza insha! Kila mtu ananafasi yake kwa Mungu na kila mtu atahukumiwa kwa matendo yake!
 
No, ni vile tu ukiwa na mtu ambae mahusiano yenu sio exploitive and demanding.

Uchawi wa mapenzi ni mtu akugeuze uwe kitega uchumi wake na askali wa kukufuatilia. Hapo utano kero tu.

Ndo maana mm sipendagi kabisaa demu mwenye mindset ya utegemezi
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Umejuaje kuwa wengine ni cha mtoto kwenye uzinzi Zaidi yako?
 
nimejikuta natoa chozi,mapenzi yanaraha na maumivu pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…