Hivi kwanini wanaume tukiingia kwenye mahusiano na wanawake wanaotuzidi umri tunazama sana kimapenzi?

Kwanza wanajitambua2,wamepitia mambo mengi3wanahisi faraja imerejea iliyopotea!
 
Pokea ua lako maasai[emoji257]
 
Daaah
 
Alishakuambia anafuta kila kitu[emoji23][emoji23]
 
Unajua kusimulia, ingekua wengine wangezunguka mpaka zitoke episode 60+, mara ulivyomshika kiuno akakuvuta kwake..ile unataka kumvua, simu ya dada'ako ikaita unataka akutume sokoni, ikabidi uende chaap.
 
Wakuu hata mimi nimenasa kwa mshangazi sijui natokaje. Yeye kanizidi miaka minne, mimi natamani hata siku moja nimkimbie lakini nashindwa kabisa. Hana mambo ya kitoto treatment yake ndo inanifanya nisifikirie pisi nyingine.Naombeni mbinu namuachaje huyu, na mtoto anaye mmoja tuu.
 
Hongera sana kwa kulitambua hilo! Ni kumshukuru Mungu kwa kweli! Kua na madem wengi sio mpango..mmoja tu anafaa!
Mshukuru Mungu uliponea chupu chupu!
 
Hukuwa serious MI nilichukua Kama wako na kuoa kabisa nikapiga wawili dabodabo ndio akaingia menopause.
Now mwaka WA 19 kwenye ndoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…