Hivi kwanini wanaume wa Pwani na visiwani Pemba na Unguja wanapenda kupika ukilinganisha na wa Bara?

Hivi kwanini wanaume wa Pwani na visiwani Pemba na Unguja wanapenda kupika ukilinganisha na wa Bara?

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Labda sijafika saudia ila nimeona tabia zao yani mwanaume mwenzangu unapika utazani mtoto wa kike tena unashinda jikoni.

Sisi wanaume tunajua kupika ni kuchoma nyama na kupika supu.

Sasa mwanaume mwenzangu unapika kuliko mwanamke hii sio sawa.

Mumejazana forozani huko.
 
Na zanzibar ishu za hotel ziko serious kupita maelezo
Ni kweli kabisa mkuu. Hilo naona mtoa mada kapitiwa. Wanaume kupika sio issue kabisaaa Kwa uzoefu wangu mdogo wanaume wanajua kupika vizuri kuliko wanaume na kiwango cha usafi wa wa wanaume ni kikubwa kuliko wanawake . Maana maumbile ya kike yenyewe Kuna majira wanakuwa hawapo comfortable na nature yao. Binafsi sikuwa naweza kula chakula cha mwanamke zaidi ya mama yangu imenichukua mda sana kuwa nakula vya wanawake wengine
 
Wanalelewa sana na mama zao hadi wanachota tabia za kike muda mwingi. Na ndio maana kule wanangoza kwenye mambo ya kupelekewa moto kinyume na mfumo.

Hayo ni matokeo ya kuwa na akii za kike na kulelewa akiwa amezungukwa na akina mama muda mwingi.
 
Labda sijafika saudia ila nimeona tabia zao yani mwanaume mwenzangu unapika utazani mtoto wa kike tena unashinda jikoni.

Sisi wanaume tunajua kupika ni kuchoma nyama na kupika supu.

Sasa mwanaume mwenzangu unapika kuliko mwanamke hii sio sawa.

Mumejazana forozani huko.
Labda we mwendawazimu!!!! Tukuokotee mawe?
 
Mada inahusu Wanaume wa Pwani na visiwani Pemba na Unguja ile umeitaja Saudi Arabia!
Hapo ulimaanisha nini Mkuu?

MaChef wakubwa Duniani ni wanaume,ni kazi moja yenye mshahara mzuri sana.
 
Labda sijafika saudia ila nimeona tabia zao yani mwanaume mwenzangu unapika utazani mtoto wa kike tena unashinda jikoni.

Sisi wanaume tunajua kupika ni kuchoma nyama na kupika supu.

Sasa mwanaume mwenzangu unapika kuliko mwanamke hii sio sawa.

Mumejazana forozani huko.
Hapa nipo Hyatt regency nakula supu,wapishi wote ni wanaume.
 
Unavyojua au uliyoyakuta kwenye jamii yako mkuu

ndio ninyi watu hapa mjin wanasukuma ndinga kali kwa kuendesha migahawa mizur tena wakiwa machief chef kwenye hyo migahawa

Nadhan n ushamba ulionao kudhan kaz fulan n ya kike

Njoo hapa ufaransa uone wapishi n akina nani

TOKA USINGIZINI
 
Nenda dubai utawakuta machef ni wanaume full kanzu nyeupe na hawajichafui ata tone
 
Wapemba ni wavivu hivyo wanaona kupika ndio kazi wanayoiweza ili wawe wanadokoa msosi
 
Wanaume ndiyo wanajua kupika ,nenda hotel kubwa kubwa wapishi wakuu wengi ni wanaume.
wanaume kuajirika zaidi nini kutokana na dharula chache... na kuchukulia kupika kama kazi wanwake wanachukulia kupika kama jukumu la kutunza bwana au familia ndio maana wauza migahawa pembezoni mwa barabra kuu za transiti ni wanawake .. wanauza vyote...
 
Back
Top Bottom