Hivi kwanini wanaume wa Pwani na visiwani Pemba na Unguja wanapenda kupika ukilinganisha na wa Bara?

Hivi kwanini wanaume wa Pwani na visiwani Pemba na Unguja wanapenda kupika ukilinganisha na wa Bara?

Labda sijafika saudia ila nimeona tabia zao yani mwanaume mwenzangu unapika utazani mtoto wa kike tena unashinda jikoni.

Sisi wanaume tunajua kupika ni kuchoma nyama na kupika supu.

Sasa mwanaume mwenzangu unapika kuliko mwanamke hii sio sawa.

Mumejazana forozani huko.
Wanaume wa pemba tofauti yao na wanaweke ni pum..bu tu.
 
Labda sijafika saudia ila nimeona tabia zao yani mwanaume mwenzangu unapika utazani mtoto wa kike tena unashinda jikoni.

Sisi wanaume tunajua kupika ni kuchoma nyama na kupika supu.

Sasa mwanaume mwenzangu unapika kuliko mwanamke hii sio sawa.

Mumejazana forozani huko.
Kwahiyo wewe kazi yako ni kuenda katika majumba ya watu kuangalia wanaopika? Au unawaonaga ukiwa wapi?

Lakini pia wanaume wa bara kupika kwenyewe hamjui na sio tu Wanaume hata wanawake pia hawajui kupika labda kama amekulia Dar

Kupika gani mahindi, viazi, karanga, majani , maharage na ndizo vyote humo humo katika sufuria moja
 
Back
Top Bottom