Na zanzibar ishu za hotel ziko serious kupita maelezoNahisi culture na malezi ya mtu anapotokea. Sidhani kama ni shida, ndio maana hata Hotel kubwa ma chefu ni wanaume
Ni kweli kabisa mkuu. Hilo naona mtoa mada kapitiwa. Wanaume kupika sio issue kabisaaa Kwa uzoefu wangu mdogo wanaume wanajua kupika vizuri kuliko wanaume na kiwango cha usafi wa wa wanaume ni kikubwa kuliko wanawake . Maana maumbile ya kike yenyewe Kuna majira wanakuwa hawapo comfortable na nature yao. Binafsi sikuwa naweza kula chakula cha mwanamke zaidi ya mama yangu imenichukua mda sana kuwa nakula vya wanawake wengineNa zanzibar ishu za hotel ziko serious kupita maelezo
Labda we mwendawazimu!!!! Tukuokotee mawe?Labda sijafika saudia ila nimeona tabia zao yani mwanaume mwenzangu unapika utazani mtoto wa kike tena unashinda jikoni.
Sisi wanaume tunajua kupika ni kuchoma nyama na kupika supu.
Sasa mwanaume mwenzangu unapika kuliko mwanamke hii sio sawa.
Mumejazana forozani huko.
Hapa nipo Hyatt regency nakula supu,wapishi wote ni wanaume.Labda sijafika saudia ila nimeona tabia zao yani mwanaume mwenzangu unapika utazani mtoto wa kike tena unashinda jikoni.
Sisi wanaume tunajua kupika ni kuchoma nyama na kupika supu.
Sasa mwanaume mwenzangu unapika kuliko mwanamke hii sio sawa.
Mumejazana forozani huko.
Mtoa mada hajatembea huyoo, mpe darasa huruuNahisi culture na malezi ya mtu anapotokea. Sidhani kama ni shida, ndio maana hata Hotel kubwa ma chefu ni wanaume
😅😅 Kufungua thread JF ni bure, mtu akiwashwaa kuandika anajisogeza anaandika pumba zakeMtoa mada hajatembea huyoo, mpe darasa huruu
Anaamini ukijua kujipikia ww ni mwanamke, BUURE KABISA
wanaume kuajirika zaidi nini kutokana na dharula chache... na kuchukulia kupika kama kazi wanwake wanachukulia kupika kama jukumu la kutunza bwana au familia ndio maana wauza migahawa pembezoni mwa barabra kuu za transiti ni wanawake .. wanauza vyote...Wanaume ndiyo wanajua kupika ,nenda hotel kubwa kubwa wapishi wakuu wengi ni wanaume.