Hivi kwanini wanaume wa zama hizi sio wavumilivu, na hawajiongezi?

Umeongea point nyingi za msingi

Ila kuna nyingine uko selfish, why ww unataka kupewa hela wakati wewe hautaki kumpa mbususu?

Kama ww hutaki sex basi wacha kuomba hela zake hata kama ni ndogo elfu 5 acha
 
Mtoa mada hana akili timamu...
Hio namba tatu nahisi n mwanaume wako yuko hvo....
 
1: Mwanaume unashindwa kuvumilia sex mpaka ndoa... Na badala yake umetongoza Leo baada ya wiki unataka starehe ya mwili. Wewe si useme tu kuwa hitaji lako ni sex tu basi na acha kuzunguka zunguka kuwa nataka kuoa?
Hapo kwenye namba 2 umeharibu shoga! Kumbe wewe unauza mapenzi!. Unahusianishaje kuombwa penzi na wewe kuomba 5,000?
 
Hiyoo number 6 itoe mkuu hata mababu zetu walishindwa na kuoa mke zaid mmoja
 
Mapenzi ya zama za iPhones works likes car cooling systems... radiator (mahusiano) inapozwa na coolants (pesa) then hot coolant (penzi) inatoka the other way, kwenda kwenye engine....If this process doesn't happen radiator huzima (gari inachemsha)....This is the law of nature....Pesa hulainisha mahusiano then penzi hutoka...
 
Mwanaume lazima awe na sababu ya ugomvi amani ikizidi mtaanza kushikana matako ndani
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
 
Utaki kutoa kipochi manyoya mpka ndoa Ila unataka hela zake 😁 wewe ni Malaya tu
 
Wivu utakuuua.kwani wajameni mliambiwa sisi hatupendwii!!!
Ke mna wivu sana. nilimsikia mama greener ananiteta na mke wangu bana daaaa!! Eti akaniomba msamaha nilimuangaliaaaa...wivu tu saabu napendwa.
 
Hiyo namba 2, wewe na wenzio na nyie mvumilie mpaka ndoa..!!
 
Mbona yamekuuma sana , karne hii lazima tuombe sex ndo tuoe maana wengi wenu mmeonjwa sana
 
Pole umeandika kwa uchungu sana ila nasikitika kukuambia kwamba sifa zote ulizoorodhesha kwenye Uzi wako sio za WANAUME Bali WAVULANA ushauri wango kwako na wenzako muwe mna date na wanaume na sio wavulana.
 
Thubutuuuuuuuuu!
Sio hawa wa zama hizi.

Kama ambavo hatuwezi kuvumilia kuwapiga mizinga ndivo ambavo hawawezi kuvumilia kutaka utelezi



Cc Smart911
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…