Hivi kwanini wanaume wa zama hizi sio wavumilivu, na hawajiongezi?

Hakuna mwanaume anayekuja na Gia ya kuoa ili ampate msichana [emoji3][emoji3][emoji3] ila wanawake mnakuaga na zile sentensi za "sitaki kuchezewa" muhuni anabend kulingana na mahitaji [emoji3] kazi ibaki kwako sasa binti mfalme ! Nakazia kwenye point ya kwanza na ya pili
Na ukisema ukweli utakufa na nyege zako
 
1: Mwanaume unashindwa kuvumilia sex mpaka ndoa... Na badala yake umetongoza Leo baada ya wiki unataka starehe ya mwili. Wewe si useme tu kuwa hitaji lako ni sex tu basi na acha kuzunguka zunguka kuwa nataka kuoa?

2: Mwanaume unatongoza, umekubaliwa tayari. Unaanza kuuliza vipi Sasa tutalala pamoja lini?. Ilhali unaombwa elfu 5 tu , huna unaitafuta mwezi mzima. Unafikiri Kuna mdada atakufikiria kweli?

3: Unaenda Nyumbani kwa mwanamke wako, unakaa wiki, hujiongezi Wala nini. Unatumia dawa yake ya mswaki, maji yake, Taulo lake, msosi wake, tena unakaa kabisa unabadili na chaneli unavyotaka wewe. Na simu unachaji kabisa. Hiiii Yani huoni aibu ilhali hujachangia hata sent 5??. Unaombwa pesa ya umeme unasema sina, Sasa unapata wapi nguvu ya kukaa kwake wiki nzima huku huna mchango wwte, zaidi ya show tu?

4: Mwanamke wako anakuambia "baby nna njaa". Eti unamjibu "chukua chakula ule". Au " hapo Nyumbani kwani hakuna chakula". Unatakiwa ujiongeze utume pesa ya kula. Mbona mambo mengine yanaeleweka. Unaambiwa "naumwa" tuma pesa ya hospitali na sio nenda hospital.

5: Unaombwa pesa kidogo kidogo tuuu ya majukumu yake, unasema yule mwanamke Malaya. Sasa baba unataka ule uroda bila kuhudumia?. Oooh Kuna mapenzi bila pesa, hahahaha nicheke Sana, hivi unaweza kwenda lodge bila pesa wewe?. Unaweza kwenda out bila pesa wewe?

6: Mkeo mjamzito, unatoka unaenda kutembea na wanawake wa nje, hivi unashindwa kuvumilia ata miez 3 kweli?... Uvumilivu mbona hamuna nyie

7: Mwanaume unampa mimba mtoto wa watu, halafu unaikataa. Kipindi unakula starehe hukujua kuwa Kuna kitu kinaitwa mimba???. Mtoto akishakuwa ndiyo mnakuja kuja huyu mtoto wangu, huku hujui hata amekuaje kuaje kufikia umri huo. Ww ni wa kupigwa kabisa.

8: Mwanaume unalia Lia mapenzi tu, Kila siku nyuzi za wanaume kulia na kulizwa mapenzi. Kazi yako kutafuta Hela, mpenzi yatakukutia mbeleni. Wajibu wako ni kutongoza yyt yule umtakaye na sio kulia Lia mapenzi kisa mtu mmoja ambaye ameamua kufanya yake, nawe tafuta wako.

9: Chumba Cha mwanaume ni kichafu hatari, usafi ni mara 1 Kwa mwezi. Soksi zake Sasa zitazame huwezi ata kuzinusa Yani. Unamsubiri mtoto wa watu tena ambaye humpi huduma yoyote aje akufulie na huduma akupe. Mwanaume kuwa smart bhana. Kuwa nadhifu kabisa, hata ukionekana mtaani, unakubalika. Hata kama huna Hela.

10: Mwanaume unakaa kabisa unajisifia tena mbele ya wanaume wenzio, eti ooh yule manzi acha kabisa, kafa kaoza kwangu, ananipa chochote nachotaka, hata tukitoka out yeye ndiyo ananipenyezea pesa Ili Mimi nilipe nionekane nimelipa Mimi kidume, nguo ananinunulia mpaka boksa. Hapo huyo mwanaume yupo Nyumbani tu anakula na kulala. Eti ooh Mimi ni mzuri, hakuna mwanamke atanikataa, wenyeweee wananihonga.

Khaaaa Yani unajisifia kuhongwa na mtoto wa kike?, Mbona Kuna vijana wa hovyo Sana??. Yani ni bora hata yule muuza ndizi, akirudi anampa manzi ake shng 1000. Kuliko ww unayejisifu kupewa. Unajisifia uzuri eti, ata huwe kama amo rapa ukiwa na Hela hukataliwiii. Mtoto Wa kiume piga Kazi...Mwanaume wa ukweli hawez kukubali pesa ya mwanamke wake ata siku 1.

HONGERA SANA KWA WANAUME WANAOJIONGEZA HAPA DUNIANI. WAJENGEWE SANAMU LA PEKE YAO.
Acha ngonjera mama ukitongozwa ukikubali, kinachofuata ni kusakata mbususu kwa kwenda mbele.
 
Angalau wewe una maneno mazuri. We ni mwanaume 1 na nusu [emoji2]
Nashukuru best binafsi sipendi maoni yangu yaendeshwe na mihemko ya watu wengine napenda kutoa hoja kutokana kile kilichopo kichwani kwangu
 
8: Mwanaume unalia Lia mapenzi tu, Kila siku nyuzi za wanaume kulia na kulizwa mapenzi. Kazi yako kutafuta Hela, mpenzi yatakukutia mbeleni. Wajibu wako ni kutongoza yyt yule umtakaye na sio kulia Lia mapenzi kisa mtu mmoja ambaye ameamua kufanya yake, nawe tafuta wako.

Hili pekee ndio Jambo la Msingi uliloandika Mkuu....

Nakazia hapo,,, Vijana someni hili tu,, Mengine ni makasiriko
 
Hakuna chamaana ulichoandika apa unajua uvumilivu WA mwanaume unapimwa kwenye nn kama bwanaako akuudumiii tafuta pesa yako Acha kuja kulia Lia apa nikutongoze alafu unizungushe kunipa Papa maana yake nn sasa c ungenikataa Tu et ndoa ww ni bikra Hadi naisubiri ndoa kiazi kabisa
Asante studio 🤣
 
1: Mwanaume unashindwa kuvumilia sex mpaka ndoa... Na badala yake umetongoza Leo baada ya wiki unataka starehe ya mwili. Wewe si useme tu kuwa hitaji lako ni sex tu basi na acha kuzunguka zunguka kuwa nataka kuoa?

2: Mwanaume unatongoza, umekubaliwa tayari. Unaanza kuuliza vipi Sasa tutalala pamoja lini?. Ilhali unaombwa elfu 5 tu , huna unaitafuta mwezi mzima. Unafikiri Kuna mdada atakufikiria kweli?

3: Unaenda Nyumbani kwa mwanamke wako, unakaa wiki, hujiongezi Wala nini. Unatumia dawa yake ya mswaki, maji yake, Taulo lake, msosi wake, tena unakaa kabisa unabadili na chaneli unavyotaka wewe. Na simu unachaji kabisa. Hiiii Yani huoni aibu ilhali hujachangia hata sent 5??. Unaombwa pesa ya umeme unasema sina, Sasa unapata wapi nguvu ya kukaa kwake wiki nzima huku huna mchango wwte, zaidi ya show tu?

4: Mwanamke wako anakuambia "baby nna njaa". Eti unamjibu "chukua chakula ule". Au " hapo Nyumbani kwani hakuna chakula". Unatakiwa ujiongeze utume pesa ya kula. Mbona mambo mengine yanaeleweka. Unaambiwa "naumwa" tuma pesa ya hospitali na sio nenda hospital.

5: Unaombwa pesa kidogo kidogo tuuu ya majukumu yake, unasema yule mwanamke Malaya. Sasa baba unataka ule uroda bila kuhudumia?. Oooh Kuna mapenzi bila pesa, hahahaha nicheke Sana, hivi unaweza kwenda lodge bila pesa wewe?. Unaweza kwenda out bila pesa wewe?

6: Mkeo mjamzito, unatoka unaenda kutembea na wanawake wa nje, hivi unashindwa kuvumilia ata miez 3 kweli?... Uvumilivu mbona hamuna nyie

7: Mwanaume unampa mimba mtoto wa watu, halafu unaikataa. Kipindi unakula starehe hukujua kuwa Kuna kitu kinaitwa mimba???. Mtoto akishakuwa ndiyo mnakuja kuja huyu mtoto wangu, huku hujui hata amekuaje kuaje kufikia umri huo. Ww ni wa kupigwa kabisa.

8: Mwanaume unalia Lia mapenzi tu, Kila siku nyuzi za wanaume kulia na kulizwa mapenzi. Kazi yako kutafuta Hela, mpenzi yatakukutia mbeleni. Wajibu wako ni kutongoza yyt yule umtakaye na sio kulia Lia mapenzi kisa mtu mmoja ambaye ameamua kufanya yake, nawe tafuta wako.

9: Chumba Cha mwanaume ni kichafu hatari, usafi ni mara 1 Kwa mwezi. Soksi zake Sasa zitazame huwezi ata kuzinusa Yani. Unamsubiri mtoto wa watu tena ambaye humpi huduma yoyote aje akufulie na huduma akupe. Mwanaume kuwa smart bhana. Kuwa nadhifu kabisa, hata ukionekana mtaani, unakubalika. Hata kama huna Hela.

10: Mwanaume unakaa kabisa unajisifia tena mbele ya wanaume wenzio, eti ooh yule manzi acha kabisa, kafa kaoza kwangu, ananipa chochote nachotaka, hata tukitoka out yeye ndiyo ananipenyezea pesa Ili Mimi nilipe nionekane nimelipa Mimi kidume, nguo ananinunulia mpaka boksa. Hapo huyo mwanaume yupo Nyumbani tu anakula na kulala. Eti ooh Mimi ni mzuri, hakuna mwanamke atanikataa, wenyeweee wananihonga.

Khaaaa Yani unajisifia kuhongwa na mtoto wa kike?, Mbona Kuna vijana wa hovyo Sana??. Yani ni bora hata yule muuza ndizi, akirudi anampa manzi ake shng 1000. Kuliko ww unayejisifu kupewa. Unajisifia uzuri eti, ata huwe kama amo rapa ukiwa na Hela hukataliwiii. Mtoto Wa kiume piga Kazi...Mwanaume wa ukweli hawez kukubali pesa ya mwanamke wake ata siku 1.

HONGERA SANA KWA WANAUME WANAOJIONGEZA HAPA DUNIANI. WAJENGEWE SANAMU LA PEKE YAO.
Tafta chako wewe kulia lia huhongwi hela ni mambo ya kishamba. Ma super woman wanajituma sana.
 
Dada umeandika kwa jazba sana..nyie si mnadai haki sawa nyie???haya KAZI IENDELEE
 
Hivi nyie wanawake kwanin msitafute pesa zenu wenyewe kwanini mtake kuhongwa tu ilhali tukinyanduana ni wote tunapata raha.Siku hizi ukimtongoza mwanamke dk sifuri kakuhamishia shida zake,ila iko hivi nyie wanawake; mwanaume akipenda anahonga mwenyewe wala hashurutishwi.Wanawake wanaojua kuzisaka pesa wapo na Mungu awabariki[emoji120]

Wanawake wanapenda hela kama wallet dah[emoji22]
 
1: Mwanaume unashindwa kuvumilia sex mpaka ndoa... Na badala yake umetongoza Leo baada ya wiki unataka starehe ya mwili. Wewe si useme tu kuwa hitaji lako ni sex tu basi na acha kuzunguka zunguka kuwa nataka kuoa?

2: Mwanaume unatongoza, umekubaliwa tayari. Unaanza kuuliza vipi Sasa tutalala pamoja lini?. Ilhali unaombwa elfu 5 tu , huna unaitafuta mwezi mzima. Unafikiri Kuna mdada atakufikiria kweli?

3: Unaenda Nyumbani kwa mwanamke wako, unakaa wiki, hujiongezi Wala nini. Unatumia dawa yake ya mswaki, maji yake, Taulo lake, msosi wake, tena unakaa kabisa unabadili na chaneli unavyotaka wewe. Na simu unachaji kabisa. Hiiii Yani huoni aibu ilhali hujachangia hata sent 5??. Unaombwa pesa ya umeme unasema sina, Sasa unapata wapi nguvu ya kukaa kwake wiki nzima huku huna mchango wwte, zaidi ya show tu?

4: Mwanamke wako anakuambia "baby nna njaa". Eti unamjibu "chukua chakula ule". Au " hapo Nyumbani kwani hakuna chakula". Unatakiwa ujiongeze utume pesa ya kula. Mbona mambo mengine yanaeleweka. Unaambiwa "naumwa" tuma pesa ya hospitali na sio nenda hospital.

5: Unaombwa pesa kidogo kidogo tuuu ya majukumu yake, unasema yule mwanamke Malaya. Sasa baba unataka ule uroda bila kuhudumia?. Oooh Kuna mapenzi bila pesa, hahahaha nicheke Sana, hivi unaweza kwenda lodge bila pesa wewe?. Unaweza kwenda out bila pesa wewe?

6: Mkeo mjamzito, unatoka unaenda kutembea na wanawake wa nje, hivi unashindwa kuvumilia ata miez 3 kweli?... Uvumilivu mbona hamuna nyie

7: Mwanaume unampa mimba mtoto wa watu, halafu unaikataa. Kipindi unakula starehe hukujua kuwa Kuna kitu kinaitwa mimba???. Mtoto akishakuwa ndiyo mnakuja kuja huyu mtoto wangu, huku hujui hata amekuaje kuaje kufikia umri huo. Ww ni wa kupigwa kabisa.

8: Mwanaume unalia Lia mapenzi tu, Kila siku nyuzi za wanaume kulia na kulizwa mapenzi. Kazi yako kutafuta Hela, mpenzi yatakukutia mbeleni. Wajibu wako ni kutongoza yyt yule umtakaye na sio kulia Lia mapenzi kisa mtu mmoja ambaye ameamua kufanya yake, nawe tafuta wako.

9: Chumba Cha mwanaume ni kichafu hatari, usafi ni mara 1 Kwa mwezi. Soksi zake Sasa zitazame huwezi ata kuzinusa Yani. Unamsubiri mtoto wa watu tena ambaye humpi huduma yoyote aje akufulie na huduma akupe. Mwanaume kuwa smart bhana. Kuwa nadhifu kabisa, hata ukionekana mtaani, unakubalika. Hata kama huna Hela.

10: Mwanaume unakaa kabisa unajisifia tena mbele ya wanaume wenzio, eti ooh yule manzi acha kabisa, kafa kaoza kwangu, ananipa chochote nachotaka, hata tukitoka out yeye ndiyo ananipenyezea pesa Ili Mimi nilipe nionekane nimelipa Mimi kidume, nguo ananinunulia mpaka boksa. Hapo huyo mwanaume yupo Nyumbani tu anakula na kulala. Eti ooh Mimi ni mzuri, hakuna mwanamke atanikataa, wenyeweee wananihonga.

Khaaaa Yani unajisifia kuhongwa na mtoto wa kike?, Mbona Kuna vijana wa hovyo Sana??. Yani ni bora hata yule muuza ndizi, akirudi anampa manzi ake shng 1000. Kuliko ww unayejisifu kupewa. Unajisifia uzuri eti, ata huwe kama amo rapa ukiwa na Hela hukataliwiii. Mtoto Wa kiume piga Kazi...Mwanaume wa ukweli hawez kukubali pesa ya mwanamke wake ata siku 1.

HONGERA SANA KWA WANAUME WANAOJIONGEZA HAPA DUNIANI. WAJENGEWE SANAMU LA PEKE YAO.
#3. Nyie mkija kwetu huwa mnajiongeza zaidi ya kubeba kanga huku mkitegemea hata wanja mnunuliwe?
 
Back
Top Bottom