Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtoa malalamiko hajiu zamani wazazi wetu hawakupitia mifumo tunayo pitia kizaz cha sasa cha kulipiana kodi ya nyumba kununuliana gas wasicha wazamani walikuawa hawatoki chini ya uangalizi wa wazaz kwenda mkoa mwingine kujitafutia maisha bila kuwa na ndugu uko aendapo, kwaiyo mtoa mada husijaribu kulinga nisha maisha ya vijana wa zamani na vijana wa sasa,nimuulize mtoa mada Mama kabla kabla haja olewa alikuwa anaishi Kwa wazaz au alikodi chumba akawa anaishi pekeakeHv unajua zamani mtu anaoa akishabalehe tuu
Msg sentHakuna chamaana ulichoandika apa unajua uvumilivu WA mwanaume unapimwa kwenye nn kama bwanaako akuudumiii tafuta pesa yako Acha kuja kulia Lia apa nikutongoze alafu unizungushe kunipa Papa maana yake nn sasa c ungenikataa Tu et ndoa ww ni bikra Hadi naisubiri ndoa kiazi kabisa
Angalau wewe una maneno mazuri. We ni mwanaume 1 na nusu [emoji2]No 3,6 na 9 nakubaliana na Wewe Hilo hizo zingine zinaonesha upungufu au Wanawake wengi kushindwa kutumia au kuendana na nyakati Ukiwa kama mwanamke mwenye ndoto kubwa za kimaisha ikiwemo kuolewa unatakiwa baadhi ya vitu ufanyiwe kazi mahusiano yanahitaji kusaidiana sio tu kupokea kila kitu kea mwanaume tunaiita Win Win situation Ndio yanayodumu kwasasa amsaidie mwanaume wako pale unapoona kakwama kama ambavyo anavyokuhudumia pale anapokuwa na hela jitahidi pia uwe mshauri mzuri kea mwanaume.Mwanaume anaweza kuwa useful kwako unapoonesha matendo mazuri kwake unapokuwa mtu wakuthamini maslahi sana kwenye mahusiano usifikiri huyo mwanaume atakupenda
Tubarikiwe Sana. Na Mimi nimesemea anayejiongeza, sijasema anayeomba omba Kila siku. Au anayehamishia matatizo ya ukoo wake kwenu nyinyi.Hivi nyie wanawake kwanin msitafute pesa zenu wenyewe kwanini mtake kuhongwa tu ilhali tukinyanduana ni wote tunapata raha.Siku hizi ukimtongoza mwanamke dk sifuri kakuhamishia shida zake,ila iko hivi nyie wanawake; mwanaume akipenda anahonga mwenyewe wala hashurutishwi.Wanawake wanaojua kuzisaka pesa wapo na Mungu awabariki[emoji120]