my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,016
- 2,397
Hivi kwanini wanaume wafupi wakivaa suti hawapendezi. Hta hawakai vizuri wanakuwa km wametundikwa au wamefunikwa hawapendezi hta kidogo. Unaweza kusema ni kafurushi sijui cha nn. Wanakuwa hawaeleweki.
Alafu awe mfupi halafu mnene hee ukimuona unaweza ukageuza njia kwa hofu. We km unajijua mfupi usivae suti jaman hupendezi unakuwa kichekesho.
Ona hawa wakaka warefu suti zilivokaa vizuri wamependeza sio km vimbilikimo.