3 Angels message
JF-Expert Member
- Aug 3, 2017
- 5,350
- 15,426
Kutakuwa na kitu kibaya umefanyiwa na mtu wa kimo hicho mkuu sasa hasira zako umewajumuisha wote
Btw hilo vazi lipo kwa watu wa vimo vyote na linampendeza yeyote hasa akipatia vipimo vyake maana nguo humpendeza mtu ikiwa sahihi kivipimo