Hivi kwanini wanaume wafupi hawapendezi?

Hivi kwanini wanaume wafupi hawapendezi?

Kuna jirani yangu alikuaga na tabia ya kusimangasimanga watu hovyo hasa watoto wa watu kisa wao kwao wamezaliwa wazuri si haba watoto wa kike, miaka ya hivi karibuni M/Mungu kamjalia kizazi...ngoja tu niishie hapa nisiingie kwenye huo mkumbo.
 
Ila JF hakuna anayebakigi salama,

Yaaaani kwa namna yoyote lazima kuna siku utaanzishwa uzi ambao deep down utakugusa tu,tena utakugusa kwa namna mbaya

Haya,leo zamu ya wafupi šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚
Uzuri kati ya wafupi watakaoboreka leo,watakuwepo wafupi waliowahi kuanzisha mada kuponda single mothers 🤣
Na wapo single mothers wafupi au walizaa na wafupi..sijui mpaka wanazaa na wafupi ilikuaje..
Wapo pia warefu walizaaa wafupi na wapo wafupi walioolewa na warefu.
 
Ila JF hakuna anayebakigi salama,

Yaaaani kwa namna yoyote lazima kuna siku utaanzishwa uzi ambao deep down utakugusa tu,tena utakugusa kwa namna mbaya

Haya,leo zamu ya wafupi [emoji23][emoji23][emoji23]
Uzuri kati ya wafupi watakaoboreka leo,watakuwepo wafupi waliowahi kuanzisha mada kuponda single mothers [emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23]malipo n hapa hapa dunian!!! mfupi anamponda cngo maza, kesho cngo maza anamponda mfupi
 
Ila JF hakuna anayebakigi salama,

Yaaaani kwa namna yoyote lazima kuna siku utaanzishwa uzi ambao deep down utakugusa tu,tena utakugusa kwa namna mbaya

Haya,leo zamu ya wafupi šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚
Uzuri kati ya wafupi watakaoboreka leo,watakuwepo wafupi waliowahi kuanzisha mada kuponda single mothers 🤣
Siku tukifahamiana zitapigwa ngumi siyo za nchi hii, unakuja kujua kumbe haka katoto ndiyo kalinizingua?
 
Acha blah blah mtu ukiwa mfupi unajijua tu. Hta mzee mwinyi hapendezi. Ndio baba yngu mrefu kwetu hakuna watu wafupi. Mimi tu mwanamke lakin nna 1.72m
Hongera sana kwa vile mlijiumba. Kwani urefu akili au ni majaliwa. Urefu na ufupi vyote vina faida na hasara zake so to speak usijisifu kana kwamba ulituma maombi kuumbwa hivyo. Je sura zenu nazo vipi? Kama ukitaka kushindana na kuringia urefu si uende Sudan ya Kusini uone.
 
Back
Top Bottom