Hivi kwanini wanaume wafupi hawapendezi?

Hongera sana kwa vile mlijiumba. Kwani urefu akili au ni majaliwa. Urefu na ufupi vyote vina faida na hasara zake so to speak usijisifu kana kwamba ulituma maombi kuumbwa hivyo. Je sura zenu nazo vipi? Kama ukitaka kushindana na kuringia urefu si uende Sudan ya Kusini uone.
Aende na Nigeria pia,.akutane na vitu...lol
 
Hivi kwanini wanaume wafupi wakivaa suti hawapendezi. Hta hawakai vizuri wanakuwa km wametundikwa au wamefunikwa hawapendezi hta kidogo. Unaweza kusema ni kafurushi sijui cha nn. Wanakuwa hawaeleweki. Alafu awe mfupi halafu mnene hee ukimuona unaweza ukageuza njia kwa hofu. We km unajijua mfupi usivae suti jaman hupendezi unakuwa kichekesho.

Ona hawa wakaka warefu suti zilivokaa vizuri wamependeza sio km vimbilikimo View attachment 1773693View attachment 1773694View attachment 1773695
Weka picha ya Andunje hapa amevaa suti tuone Kama anaonekana Kama kifurushi
 
Utani wa maumbile huu.
Huwa unaumiza sana na ndio hufanya watu waliotaniwa au kuzungumziwa kama huna akili basi unajiona huna lolote hapa Duniani.

Huu hauna na tofauti dhihaka dhidi ya Weusi, weupe ..wenye vichwa vikubwa ...visogo...wakaka kwa wadada wasio na sura kwa minaji ya taswira na tuonavyo sisi.
Halafu mwishoni mtu yoyote kati ya hilo kundi akafa kwa kutokana na vijitabia hivi utasikia ma # kibao kibao..,mara sijui #BLM.

Mimi ni mhanga wa kichwa kikubwa napata shida sana na utu uzima wangu muda mwingine nikikutana na aina ya watu wengi waliopo humu.
Tuache utani huwa inaumiza sana kama ukichukulia kila kitu serious.
 
Ila JF hakuna anayebakigi salama,

Yaaaani kwa namna yoyote lazima kuna siku utaanzishwa uzi ambao deep down utakugusa tu,tena utakugusa kwa namna mbaya

Haya,leo zamu ya wafupi 😂😂😂
Uzuri kati ya wafupi watakaoboreka leo,watakuwepo wafupi waliowahi kuanzisha mada kuponda single mothers 🤣
JF raha sana yani! Watu wanapakana choo kwa zamu zamu 😂😂😂
 
Utani wa maumbile huu.
Huwa unaumiza sana na ndio hufanya watu waliotaniwa au kuzungumziwa kama huna akili basi unajiona huna lolote hapa Duniani.

Huu hauna na tofauti dhihaka dhidi ya Weusi, weupe ..wenye vichwa vikubwa ...visogo...wakaka kwa wadada wasio na sura kwa minaji ya taswira na tuonavyo sisi.
Halafu mwishoni mtu yoyote kati ya hilo kundi akafa kwa kutokana na vijitabia hivi utasikia ma # kibao kibao..,mara sijui #BLM.

Mimi ni mhanga wa kichwa kikubwa napata shida sana na utu uzima wangu muda mwingine nikikutana na aina ya watu wengi waliopo humu.
Tuache utani huwa inaumiza sana kama ukichukulia kila kitu serious.
Mkuu usichukulie serious bana huu utani wa humu ni endless!
 
Embrace your uniqueness Mkuu.

Kumbuka Biblia inasema we are fearfully and wonderfully made.

We are perfect in God's eyes.
 
Ufupi ni nini na unalingasha na nini? Mbona Mzee Mwinyi pamoja na ufupi wake anapendeza? Je baba yako ni mfupi au mrefu na kwa vigezo vipi?
Babaake mfupi ila leo anashupaza shingo humu kupondea wanaume!
 
Hii thread inarudi mara ya tatu humu...
kuna cd ya masingle Maza,,
cd ya watu wafupi...
na cd ya kitimoto
na cd ya madem wenye mit.ako...
haipi miezi mitatu bila kujirudia....
tofauti ni uletwaji tu rizim ni ile ile
Hahahahaha nimecheka kinoma chief 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

Umesahau na CD ya mademu wasumbufu wa kupenda kuomba omba hela!
 
Back
Top Bottom