Hivi kwanini wanaume wafupi hawapendezi?

Hivi kwanini wanaume wafupi hawapendezi?

Af wanaume warefu asilimia kubwa wana vipenseli ya kakitu kembamba kanaelea elea tu ila hawa 5 ft kitu kinene urefu wastani,kwakweli kwa ma andunje sibanduki ata wakivaa kama jokeri.

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Tutakujengea sanamu lako lodge kubwa pale kati
 
Ufupi ni nini na unalingasha na nini? Mbona Mzee Mwinyi pamoja na ufupi wake anapendeza? Je baba yako ni mfupi au mrefu na kwa vigezo vipi?
Acha blah blah mtu ukiwa mfupi unajijua tu. Hta mzee mwinyi hapendezi. Ndio baba yngu mrefu kwetu hakuna watu wafupi. Mimi tu mwanamke lakin nna 1.72m
 
Ila JF hakuna anayebakigi salama,

Yaaaani kwa namna yoyote lazima kuna siku utaanzishwa uzi ambao deep down utakugusa tu,tena utakugusa kwa namna mbaya

Haya,leo zamu ya wafupi [emoji23][emoji23][emoji23]
Uzuri kati ya wafupi watakaoboreka leo,watakuwepo wafupi waliowahi kuanzisha mada kuponda single mothers [emoji1787]
[emoji1787][emoji1787]Hakuna aliyesalama, dhambi ya ubaguz inatafuna pande zote
 
Kwani mrefu ni kuanzia futi ngapi
Mkapas_Book_Lauch_and_81_Birthday_12-11-2019.jpg
 
Kutakuwa na kitu kibaya umefanyiwa na mtu wa kimo hicho mkuu sasa hasira zako umewajumuisha wote

Btw hilo vazi lipo kwa watu wa vimo vyote na linampendeza yeyote hasa akipatia vipimo vyake maana nguo humpendeza mtu ikiwa sahihi kivipimo
Mtu mfupi atanifanya nini mimi? We mbona unataka niseme visivosemwa 😁
 
Back
Top Bottom