Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Kwahio huyu jamaa hapa hajapendeza 😂😂😂Naona vistuli wamewaka Kweli😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahio huyu jamaa hapa hajapendeza 😂😂😂Naona vistuli wamewaka Kweli😂😂😂
Yani huko sipo kabisa mpenziii shem....Kwa cheko hili utakuwa hauhusiki Shem darling
Huyo jamaa mfupi alikufanya nini? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naona vistuli wamewaka Kweli[emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu baada ya kuelewa sikuwa naona kitu chaa ajabu.Embrace your uniqueness Mkuu.
Kumbuka Biblia inasema we are fearfully and wonderfully made.
We are perfect in God's eyes.
Ni kweli Mkuu..sasa unakuta kuna mtu tofauti na mimi akaon huo uzi asubuhi kama hii na anamawazo yake.Mkuu usichukulie serious bana huu utani wa humu ni endless!
Yeah tunatofautiana stress management abilities! Kuna watu wako so emotional kiasi kwamba ukimsema kidogo analia wengine ndio hufikia stage wanaji self destruct ni changamoto kwa kweli!Ni kweli Mkuu..sasa unakuta kuna mtu tofauti na mimi akaon huo uzi asubuhi kama hii na anamawazo yake.
Kama hakupata watu wa kutia moyo kama wewe na wote.
Huathiri akili kwa kiwango kikubwa sana ki ukweli.
Nakumbuka kuna kisa cha mwezi kama mmoja ulipita kuna yule binti aliyejiua baada ya kupigwa na mwenzake kwa facts tu za Weusi...
Bado kuna changamoto sana kwa jamii zetu kuhusu hali na maumbile.
Mkuu usilalamike sana,mbona hapa kila siku utasikia mwanamke ana sura ya babake simtaki au mwanamke hana tako mimi simtaki je kwan hao nao wamejiumba??Hongera sana kwa vile mlijiumba. Kwani urefu akili au ni majaliwa. Urefu na ufupi vyote vina faida na hasara zake so to speak usijisifu kana kwamba ulituma maombi kuumbwa hivyo. Je sura zenu nazo vipi? Kama ukitaka kushindana na kuringia urefu si uende Sudan ya Kusini uone.
Weng wenu mpo slow sana kutafuta pesa tofaut na wafup.... Nyie endeleea kupendezaHivi nasi wanaume warefu wembamba tukomenti wapi
Google neno bangi.Bangi ndo nn?
Hakika,be proud of yourself.Embrace your uniqueness Mkuu.
Kumbuka Biblia inasema we are fearfully and wonderfully made.
We are perfect in God's eyes.
Acha Uzwazwa Suti haina mfupi Wala Mrefu, yeyote yule akiivaa ina mkaa smartHivi kwanini wanaume wafupi wakivaa suti hawapendezi. Hta hawakai vizuri wanakuwa km wametundikwa au wamefunikwa hawapendezi hta kidogo. Unaweza kusema ni kafurushi sijui cha nn. Wanakuwa hawaeleweki. Alafu awe mfupi halafu mnene hee ukimuona unaweza ukageuza njia kwa hofu. We km unajijua mfupi usivae suti jaman hupendezi unakuwa kichekesho.
Ona hawa wakaka warefu suti zilivokaa vizuri wamependeza sio km vimbilikimo View attachment 1773693View attachment 1773694View attachment 1773695