Hivi kwanini wanaume wafupi hawapendezi?

my name is my name

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2015
Posts
2,016
Reaction score
2,397
Hivi kwanini wanaume wafupi wakivaa suti hawapendezi. Hta hawakai vizuri wanakuwa km wametundikwa au wamefunikwa hawapendezi hta kidogo. Unaweza kusema ni kafurushi sijui cha nn. Wanakuwa hawaeleweki.

Alafu awe mfupi halafu mnene hee ukimuona unaweza ukageuza njia kwa hofu. We km unajijua mfupi usivae suti jaman hupendezi unakuwa kichekesho.

Ona hawa wakaka warefu suti zilivokaa vizuri wamependeza sio km vimbilikimo.
 
Ila JF hakuna anayebakigi salama,

Yaaaani kwa namna yoyote lazima kuna siku utaanzishwa uzi ambao deep down utakugusa tu, tena utakugusa kwa namna mbaya.

Haya,leo zamu ya wafupi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Uzuri kati ya wafupi watakaoboreka leo,watakuwepo wafupi waliowahi kuanzisha mada kuponda single mothers 🀣
 
Hivi nasi wanaume warefu wembamba tukomenti wapi
 
Ufupi ni nini na unalingasha na nini? Mbona Mzee Mwinyi pamoja na ufupi wake anapendeza? Je baba yako ni mfupi au mrefu na kwa vigezo vipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…