Hivi kwanini wanaume wafupi hawapendezi?

Mara nyingi makundi haya matatu huguswa mara kibao:-
1.singo maza
2.Vijana wenye umri mkubwa ambao bado wanaishi kwa wazazi
 
Mavaz bhana!
Kwanza suti hapa duniani huwapendeza watu wachache sana,mimi nazani ambao niliwah kuwaona wamependezwa na suti hawazid hata 10.

Afu suruali kwa wadada pia ambao huwa inawapendeza ni wachache sana,mwanamke kama hana hips hapaswi kuvaa suruali
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
kuna jamaa alinipa research kwamba wanaume wafupi ndio huongoza kwa mafanikio kwasababu wanafight sana ili washindane na warefu kwenye kupendwa na mademu. ukweli ni kwamba, kama wanaume wote wangekuwa na pesa kiwango sawa wakapangwa mstari hapo, wanawake wakaambiwa wakachague nani awaoe, wafupi wangekuwa single fathers.
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Kwani ni wapi nilisema walijiumba mwanangu kama siyo kusingiziana bure?
 
Usichokijua wanaume wanaaongoza kwa kupendwa sio hata hao warefu! Wanaume wafupi wako so charismatic!!! Wana vitu vinavyowafanya wanawake wengi happy wakiwa aroundπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… wacheshi sana mf. Joti

Kama unabisha fuatilia hilo hata mtaani kwenu tu utagundua!
 
kwani huyu mtoa mada ni single mother nauliza tu mkuu?
 
Kama wangechagua warefu tupu means pia single mothers wangekua wengi sababu warefu ni wachache
 
huu uzi nilitegemea utakuwa mfupi kweli, ila naona unaenda tuu km maandamano ya BAWACHA πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…