Hivi kwanini wanaume wafupi hawapendezi?

Ulijuaje kuna wanaume wafupi? Sifa ya mrefu imetokana na mfupi kuwepo na sifa ya mfupi imetokana na mrefu kuwepo
Kwa hiyo kama wewe unaona warefu pekee ndio wanapendeza basi pia kuna wafupi nao wanapendeza wa kivaa suti
 
Kuna kajamaa kazini n kafuupii sana ila sasa kacheshi balaa yaan kenyewe mda wote kanaongea. Asbuh mpaka usku. Yaan kenyewe dakika sifuri kashapata mteja akat mwezangu na mm umekaa unakodoa tu macho
 
uzuri wanaume wafupi ukumruhusu kwenye papuchi K utaiweka mkono na utakimbia bila chupi
 
Kuna kajamaa kazini n kafuupii sana ila sasa kacheshi balaa yaan kenyewe mda wote kanaongea. Asbuh mpaka usku. Yaan kenyewe dakika sifuri kashapata mteja akat mwezangu na mm umekaa unakodoa tu macho
Hahahah ndio walivyo wachangamfu sana
 
Hii thread inarudi mara ya tatu humu...
kuna cd ya masingle Maza,,
cd ya watu wafupi...
na cd ya kitimoto
na cd ya madem wenye mit.ako...
haipi miezi mitatu bila kujirudia....
tofauti ni uletwaji tu rizim ni ile ile
Umesahau sisi tunaolala kwa shemeji [emoji13] Jf raha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…