Hivi kwanini wanaume weupe wanaroho mbaya sana?

Acheni kuwapangia watu maisha..kama hana interest na kuoa haina haja ya kumlazimisha
 
Yawezekana ni kazi moja mbovu mnoo...sasa inaoona hadi wanaume wamependeza anapandwa na kihoro..mwsho wa siku anakuja kutapika huku jukwaan
 
Hao ni wanawake wenzenu isipokua jinsia!!

Yaani sisi black tupo hapa tunang'aa kama nyoka unaenda kuolewa na cheupe dawa kisa anaringa ni mweupe!!?

Kuweni makini nyie!
 
Mmeo kazi anayo!
 
Wivuuu tu..
Watu weusi ni kizazi cha laana
weusi ni nembo ya ufukara.
 
We utakuwa mweupe
Mbona maneno mengi
Njoo huku
 
Mtoa mada apuuzwe ana roho mbaya
Mtoa mada mweusi kama mkaa
 
Hapo ni kukabiliana na Kila hali
Kama MAJALIWA!
Yupi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…