Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 18,201
- 17,563
- Thread starter
-
- #121
Ni mkweli hazinguiHuyo mzinguaji mkuu
Sio wote wa kwangu mie hana hata sifa moja uliyotaja hapo juu.
Nimekuja
Kweli dear wangu
Mijitu😂.
Mnapenda watoto weupe ila hamuwapendi wanaume weupe.
Dharau ni hulka ya mtu na haina uhusiano na pigment.
Pole kwa yaliyokukuta
Nguvu za kiume hunaNatamani anipe mimi nimchezee dance flow la kibabe dadadeki.
Kwa kweli.
SawaNguvu za kiume huna
"'Nani Ananitaka Kimapenzi?'' - Hili swali jibu lake ni lipi eti?'
Ivi haya maswali yapo bado? kuna mlevi hapa baa ameleeeewa ananiuliza nani ananitaka afu nani analewa jumanne yote hii?www.jamiiforums.com
Wewe penny!!Hata mama yako aliomba hela
Sio hawa wa sahivi tu
"'Nani Ananitaka Kimapenzi?'' - Hili swali jibu lake ni lipi eti?'
Ivi haya maswali yapo bado? kuna mlevi hapa baa ameleeeewa ananiuliza nani ananitaka afu nani analewa jumanne yote hii?www.jamiiforums.com
Sio uumbaji wa Mungu labda wewe ni jini au pepoMi mweusi na roho mbaya nnayo. Nipeni hongera zangu, nna roho kama rangi yang
Sawa
Mi mweusi na roho mbaya nnayo. Nipeni hongera zangu, nna roho kama rangi yang
Andika uzi nitakuja ku comment bosswanawake weupe wana roho mbaya, kupita kiasi.sijui kwanini
AbeeWewe penny!!
Weka evidence kibiolojia pl,lzEti mwanamke mwenye ndevu anaweza kumpa mimba mwanaume mweupe nimeisikia sehemu hii
ThubutuMm ni mweusi dada naomba tamu🤔
Nitakuhonga kibunda cha 3000Thubutu
Woi kaa nachoNitakuhonga kibunda cha 3000
Utaki jihogo 😁😁Woi kaa nacho