implicit memory
JF-Expert Member
- Nov 14, 2024
- 2,109
- 2,157
Ni kwasababu ndoa za kiislamu hazina gharama kama huko kwingine,pili mme ni ruhusa kuoa mke zaidi ya mmoja,haya yote yanazingatia Sheria haswaa,si kuchukuliwa poa kama wasemavyo baadhi ya wale wa upande wa pili.
Kuachana huwa ni kisheria,si ovyo ovyo,kama hujui fuatilia,utaelewa kama ni muelewa,, upande wa pili waambiwa ni mpaka kifo,,alafu mke mmoja,,hiyo inachochea magomvi na uzinzi balaaa hadi kupelekea ndoa kusambaratika..