Hivi kwanini Wanawake wa kiislamu ndiyo wanaongoza kuolewa?

Hivi sijui kwanini wanawake wa kislamu ndiyo wanaongoza kuolewa sana yaani mara chache kuoana mwanamke wa kiislamu anazeekea nyumbani tofauti na wale wa upande wa pili kama budha,hindu na wale wengine na mara nyingi mwanaume au wanaume wapo radhi wabadili dini tu imradi amuoe mwanamke wa kiislamu na hii nimeishuhudia sehemu nyingi sana na maeneo mengi na mara nyingi nikiwahoji watu wananiambia eti kwasababu wanawake wengi wa kiislamu wana maadili tofauti na wengine
Kuolewa mapema ni sunna kama bibi Hadija
 
visa vya talaka tatu, jamaa ili amrudie mke aliyempa talaka 3, akamwomba rafiki yake amwoe halafu amtaliki chapu next 3 days bila kumla, ili apate kigezo cha kumwoa tena, wanandoa feki wapya walikulana wakagoma kupeana talaka, wakaendelea na MAUTAMU ya ndoa yao halali:CaptFailFish:
KUNOGEWA
 
Kuna wadada wawili mmoja mpaka sasa hii ndoa aliyonayo ni ya nne, mwingine mwaka 2000 aliolewa 22 akaachika,23 mwishoni akaolewa,hakukaa hata miezi sita,juzi ananiletea kadi eti anaolewa,nikabaki nacheka yaani ndani ya miaka mitano ndoa nne?
Hata kama kuna urahisi kiasi hicho,basi acha waolewe ila kwa waislam ndoa ni kama mvuta sigara,akimaliza haja yake anatupa kishungi,ndoa hazina heshima
Wanaoachika wengi ni wasio waislamu kama unabisha nenda mahakamani utashuhudia.

Waislamu wana uvumilivu wa hali ya juu kwenye suala la ndoahili halina ubishi.
 
Hao ni viburudisho vya wanaume.... unaoa asubuhi, jioni unaacha na dini inakuruhusu...... wanaume wa kiislamu wana mahali pa kuchezea ndiyo maana hata harusi, so called harusi huwa ni maandazi 2 au 3 na chai ya rangi na wali na maharage. harusi imeisha....

Zaid, unakutwa unazini na binti wa kiislamu. Chapchap hapo hapo unaviziwa, na shekh na mkeka/mswala na kuruaini unaozshwa instantly! Kwanini wasiwe wengi?.... AU NASEMA UONGO?
Ndoa zipi zinaongoza kwa talaka? Tena wale wanojiona wao ndo wasomi full kuachana ety mpk kifo kwani uyo mama ako mpk kifo
 
Kwasababu ni rahisi kuachika pia
Wanaoachana wengi ni wasio waislamu kama unabisha nenda mahakamani utashuhudia.

Wanawake wa kiislamu wana maadili sana hata mavazi yao yanaonekana yenye kujistiri.
 
Kuna wadada wawili mmoja mpaka sasa hii ndoa aliyonayo ni ya nne, mwingine mwaka 2000 aliolewa 22 akaachika,23 mwishoni akaolewa,hakukaa hata miezi sita,juzi ananiletea kadi eti anaolewa,nikabaki nacheka yaani ndani ya miaka mitano ndoa nne?
Hata kama kuna urahisi kiasi hicho,basi acha waolewe ila kwa waislam ndoa ni kama mvuta sigara,akimaliza haja yake anatupa kishungi,ndoa hazina heshima
Ila majalada ya talaka mahakamani yamejaa ya wakristo
 
Hivi sijui kwanini wanawake wa kislamu ndiyo wanaongoza kuolewa sana yaani mara chache kuoana mwanamke wa kiislamu anazeekea nyumbani tofauti na wale wa upande wa pili kama budha,hindu na wale wengine na mara nyingi mwanaume au wanaume wapo radhi wabadili dini tu imradi amuoe mwanamke wa kiislamu na hii nimeishuhudia sehemu nyingi sana na maeneo mengi na mara nyingi nikiwahoji watu wananiambia eti kwasababu wanawake wengi wa kiislamu wana maadili tofauti na wengine
Sina hakika na hili japo wanaweza kuongoza kwa maana ya kuwa waoaji wanayo tamaa au nia ya kuwa na wake zaidi ya mmoja. Sina hakika na mwanaume aliyekimbilia kubadili din na kuslimu lengo aoe muislam bali nawahua waislam pia walioenda kuoa wakristu
 
Post kama hizi ndipo za kujua hulka ,chuki na wivu wa watu 😂😂, uzi wenyewe hauna mantiki wala tafiti yeyote ya kweli ila sasa ahsanteni studio
 
Hapo ndipo linapokuja suala la kuolewa sana wasichana wa kiislamu kuliko wengine
Ndo mna unauwana mkichokana talaka ni bora kuliko kuuwana kma wengi wenu mnavofanya
 
1
Hivi sijui kwanini wanawake wa kislamu ndiyo wanaongoza kuolewa sana yaani mara chache kuoana mwanamke wa kiislamu anazeekea nyumbani tofauti na wale wa upande wa pili kama budha,hindu na wale wengine na mara nyingi mwanaume au wanaume wapo radhi wabadili dini tu imradi amuoe mwanamke wa kiislamu na hii nimeishuhudia sehemu nyingi sana na maeneo mengi na mara nyingi nikiwahoji watu wananiambia eti kwasababu wanawake wengi wa kiislamu wana maadili tofauti na wengine
1. Wana lugha nzuri
2. Wanajistiri hasa kimavazi.
3. Siyo wachoyo.
Hawana kuzungushana kama wengine.
4. Asilimia kubwa wako vizuri kwenye mambo ya bed(6×6)

5. Dini inaruhusu kusomba hata 4, hii inasaidia wengi kuolewa.
6. Tendency ya kuoa na kuachana ni kubwa sana. Yaani wakizinguana kidogo tu anaacha na kuchukua chombo nyingine.
 
Back
Top Bottom