Hivi kwanini Wanawake wa kiislamu ndiyo wanaongoza kuolewa?

Hizo ni ndoa au ushuzi. Wanawake wenyewe ndio hawa na ndoa yenyewe ndio hii. 😁😁😁😁
1752405815984.jpg

Au hii? 😁😁😁😁
1752410191465.jpg
 
Hivi sijui kwanini wanawake wa kislamu ndiyo wanaongoza kuolewa sana yaani mara chache kuoana mwanamke wa kiislamu anazeekea nyumbani tofauti na wale wa upande wa pili kama budha,hindu na wale wengine na mara nyingi mwanaume au wanaume wapo radhi wabadili dini tu imradi amuoe mwanamke wa kiislamu na hii nimeishuhudia sehemu nyingi sana na maeneo mengi na mara nyingi nikiwahoji watu wananiambia eti kwasababu wanawake wengi wa kiislamu wana maadili tofauti na wengine
Sababu kuu ni Kufuata Sheria ya kiislamu ya kujiepusha na zinaa.

Wanawake wa dini nyengine hawajalelewa kwenye misingi hiyo ndio maana unamkuta mwanamke under 20 sio bikra tena . Nani atamuoa wakati kashatumika, hiyo ni kiashiria tosha kwamba ata ukimuweka ndani Kuna asilimia kubwa ya kuendelea na uzinifu wake. Hakuna kutoa mitumba .
 
Wacha weee 😁😁😁
1752405840616.jpg
 
Tunaoamini bikra Maria ni mama wa Mungu, mabinti zetu wanafeli wapi?πŸ˜€
 
Sasa kama wanakubali kushare dudu ya mwanaume mmoja anayewalaza kwenye nyumba moja kwa nini wasionekane kuolewa sana. Mwanaume mmoja unakuta anao hadi wanne wanashare kiroho safi.
Kwa kweli wana roho safi sana hata mimi natamani nioe wa upande ule ili niwe nao wanne.
Bora kujua kuliko wewe unayejificha huko et kisa unaogopa dini yako hairuhusu
 
Kwa wenzetu mwanamke akiolewa na kuachwa mara nyingi ndio anazidi kuheshimika mtaani:

Kila ndoa wao wanaita ni chuo:
Ukisikia "mimi nina vyuo saba" maana yake kaachika mara saba:

Halafu jambo la kuachika kwao hawalichukulii uzito mkubwa:

Wengine wanaolewa ili waachike ili wapande vyuo vingi na kuheshimika zaidi na jamii zao:

Makungwi wao ni wale walio achika mala nyingi zaidi:

Kiukweli wenzetu wapo katika dunia yao:
Kamwe hatulingani nao
 
Hivi sijui kwanini wanawake wa kislamu ndiyo wanaongoza kuolewa sana yaani mara chache kuoana mwanamke wa kiislamu anazeekea nyumbani tofauti na wale wa upande wa pili kama budha,hindu na wale wengine na mara nyingi mwanaume au wanaume wapo radhi wabadili dini tu imradi amuoe mwanamke wa kiislamu na hii nimeishuhudia sehemu nyingi sana na maeneo mengi na mara nyingi nikiwahoji watu wananiambia eti kwasababu wanawake wengi wa kiislamu wana maadili tofauti na wengine
Nikuongezee na nyingine, watoto wa kike wa Kiislamu ndiyo wanaoongoza kuzalia nyumbani kwao.
 
Hivi sijui kwanini wanawake wa kislamu ndiyo wanaongoza kuolewa sana yaani mara chache kuoana mwanamke wa kiislamu anazeekea nyumbani tofauti na wale wa upande wa pili kama budha,hindu na wale wengine na mara nyingi mwanaume au wanaume wapo radhi wabadili dini tu imradi amuoe mwanamke wa kiislamu na hii nimeishuhudia sehemu nyingi sana na maeneo mengi na mara nyingi nikiwahoji watu wananiambia eti kwasababu wanawake wengi wa kiislamu wana maadili tofauti na wengine
Me niliowa mwislamu NAMSHUKURU YESU mwaka huu amebadili DINI amekuwa MSABATO anaendelea kuuona ukuu wa YEHOVA
 
Hivi sijui kwanini wanawake wa kislamu ndiyo wanaongoza kuolewa sana yaani mara chache kuoana mwanamke wa kiislamu anazeekea nyumbani tofauti na wale wa upande wa pili kama budha,hindu na wale wengine na mara nyingi mwanaume au wanaume wapo radhi wabadili dini tu imradi amuoe mwanamke wa kiislamu na hii nimeishuhudia sehemu nyingi sana na maeneo mengi na mara nyingi nikiwahoji watu wananiambia eti kwasababu wanawake wengi wa kiislamu wana maadili tofauti na wengine
Me niliowa mwislamu NAMSHUKURU YESU mwaka huu amebadili DINI amekuwa MSABATO anaendelea kuuona ukuu wa YE
 
Hivi sijui kwanini wanawake wa kislamu ndiyo wanaongoza kuolewa sana yaani mara chache kuoana mwanamke wa kiislamu anazeekea nyumbani tofauti na wale wa upande wa pili kama budha,hindu na wale wengine na mara nyingi mwanaume au wanaume wapo radhi wabadili dini tu imradi amuoe mwanamke wa kiislamu na hii nimeishuhudia sehemu nyingi sana na maeneo mengi na mara nyingi nikiwahoji watu wananiambia eti kwasababu wanawake wengi wa kiislamu wana maadili tofauti na wengine
sababu ni wasafi wa mwili na roho
 
Hao ni viburudisho vya wanaume.... unaoa asubuhi, jioni unaacha na dini inakuruhusu...... wanaume wa kiislamu wana mahali pa kuchezea ndiyo maana hata harusi, so called harusi huwa ni maandazi 2 au 3 na chai ya rangi na wali na maharage. harusi imeisha....
Huwa unajisikiaje kusema uongo katika dini usiyoifahamu vizuri
 
Kuna wadada wawili mmoja mpaka sasa hii ndoa aliyonayo ni ya nne, mwingine mwaka 2000 aliolewa 22 akaachika,23 mwishoni akaolewa,hakukaa hata miezi sita,juzi ananiletea kadi eti anaolewa,nikabaki nacheka yaani ndani ya miaka mitano ndoa nne?
Hata kama kuna urahisi kiasi hicho,basi acha waolewe ila kwa waislam ndoa ni kama mvuta sigara,akimaliza haja yake anatupa kishungi,ndoa hazina heshima
wenyewe ndoa wanita chuo na ni sifa kupita vyuo vingi, utakuta wanawake wenyewe wanajisifia, eeh mi ndyo niko chuo (ndoa) cha sita hiki, watoto wa mibaba sita ya kabila tofauti πŸ˜€
 
Kwa wenzetu mwanamke akiolewa na kuachwa mara nyingi ndio anazidi kuheshimika mtaani:

Kila ndoa wao wanaita ni chuo:
Ukisikia "mimi nina vyuo saba" maana yake kaachika mara saba:

Halafu jambo la kuachika kwao hawalichukulii uzito mkubwa:

Wengine wanaolewa ili waachike ili wapande vyuo vingi na kuheshimika zaidi na jamii zao:

Makungwi wao ni wale walio achika mala nyingi zaidi:

Kiukweli wenzetu wapo katika dunia yao:
Kamwe hatulingani nao
kusema uongo inakupa thamani yoyote?
 
Uislamu unamfunda binti kuwa mke.
Kama ume-date na mabinti wa kiislamu na kikristo bila shaka kwenye masuala ya utiifu, usafi, hekima nyakati mbaya kiuchumi, mapishi lazima utakua umeoana tofauti. Mabinti wa kikristo wamezidiwa kwa mbali kidogo.

Binti wa kiislamu tangu anavunja ungo anapewa a,b,c za kuishi na mume mpaka atakapoolewa. Sisi wakristo binti akishapata kipaimara tu habari imeisha. Ndio maana ni rahisi kwa mwanaume kutangaza nia kwa binti wa kiislamu kuliko hawa wa kikristo, wengi ni jeuri, hawajui kupika, hawawezi kumtii mume. Wakiwa kwenye prime yao hawakamatiki. Mpaka wachuje uko 30+ ndio wanasema wapo tayari kuolewa
 
Hivi sijui kwanini wanawake wa kislamu ndiyo wanaongoza kuolewa sana yaani mara chache kuoana mwanamke wa kiislamu anazeekea nyumbani tofauti na wale wa upande wa pili kama budha,hindu na wale wengine na mara nyingi mwanaume au wanaume wapo radhi wabadili dini tu imradi amuoe mwanamke wa kiislamu na hii nimeishuhudia sehemu nyingi sana na maeneo mengi na mara nyingi nikiwahoji watu wananiambia eti kwasababu wanawake wengi wa kiislamu wana maadili tofauti na wengine
nakinyume chake ni hvo hvo..kwanza hawana mambo mengi ni mkeka tu mambo yanaisha.
 
Back
Top Bottom