Hivi kwanini Wanawake wa kiislamu ndiyo wanaongoza kuolewa?

Hivi kwanini Wanawake wa kiislamu ndiyo wanaongoza kuolewa?

Huwa unajisikiaje kusema uongo katika dini usiyoifahamu vizuri
Naishi nao, naona anaolewa siku mbili anarudi.... pia I do attend those sherehe za harusi, naona kinachoendelea.

kuna talaka rejea, maana yake nini? nakupa talaka, then unaweza kurejea tena au usirejee.

Talaka tatu.....hurudi tena ukitaka kurudi lazima uwe umeolewa tena na mwanamume mwingine ndiyo urudi? nadanganya?
 
Hivi sijui kwanini wanawake wa kislamu ndiyo wanaongoza kuolewa sana yaani mara chache kuoana mwanamke wa kiislamu anazeekea nyumbani tofauti na wale wa upande wa pili kama budha,hindu na wale wengine na mara nyingi mwanaume au wanaume wapo radhi wabadili dini tu imradi amuoe mwanamke wa kiislamu na hii nimeishuhudia sehemu nyingi sana na maeneo mengi na mara nyingi nikiwahoji watu wananiambia eti kwasababu wanawake wengi wa kiislamu wana maadili tofauti na wengine
Wanaongoza pia kuachika na kuzalishwa hovyo, pia wanaongoza kujiuza na kutoa tigo.
 
Naishi nao, naona anaolewa siku mbili anarudi.... pia I do attend those sherehe za harusi, naona kinachoendelea.

kuna talaka rejea, maana yake nini? nakupa talaka, then unaweza kurejea tena au usirejee.

Talaka tatu.....hurudi tena ukitaka kurudi lazima uwe umeolewa tena na mwanamume mwingine ndiyo urudi? nadanganya?
Kuishi nao haikupi haki ya kuwazungumzia wote,badilikeni kusema uongo haikuzidishii chochote expert wangu

Katika Uislamu kuna talaka moja,mbili na tatu,

Hizi zote zina hekima yake,talaka moja na mbili zinaitwa rejea kwasababu unaweza kumrejea mtalaka wako,hapa kuna mazingira mawili

Baada ya kumuacha kwa talaka moja au mbili,ikiwa kipindi cha eda hakijaisha unaweza kumrejea,lakini kipindi cha eda kikipita basi itabidi umuoe upya,kwa maana unaanza process za ndoa

Hekima yake ni kwamba,wakati mwingine watu wanaachana kwa mihemko tu na hasira za mda

Kwahiyo hii inawapa nafasi ya kuishi tena pamoja baada ya kutafakari changamoto zao na kuona umuhimu wa kuzotatua na kuishi tena pamoja

Talaka ya tatu hiyo ni ya mwisho,hapa wanandoa hawana tena ruska ya kurudiana,kwasababu mpaka wanafikia stage hii basi kuna shida kubwa

Na sharti ya wao kufunga ndoa tena,ni mpaka mke aolewe na bwana mwingine kisha aachike ndio aolewe na mume wake wa awali

Na udanganyifu wowote hautakiwi kwa maana upange dili uelewe na mumu mwingine kisha akuache ili urejee kwa mume wako wa zamani

Utawadanganya wanadamu lakini sio Allah
 
Wema wa mtu unajuaje? Nafsi ya mtu unaweza kuijua? Waliosema moyo wa mtu ni kichaka hawajakosea
na we unajuaje umalaya wa hao waislam? wakati ni mfumo wa dini ndyo unaleta single mothers wengi na watoto wa mtaani, kwa sababu kutoa talaka na kuoa mbadala ni kitu cha kawaida sana, hakina gharama wala usumbufu
 
Unawezaje kudhibitisha kwamba dini ndio inasababisha hayo?
 
Back
Top Bottom