Achana na kuachika kumoja kunakoitwa Chuo:
Kuna ndoa za Mkeka
Kuna ndoa za muta yaani za siku moja au wiki au mwezi mmoja tu:
Kuna ndoa za mwezi wa mzee Ramadhani, maalum kwa kupikiwa daku na ftari, mfungo ukiisha tu unachukua karatasi unaandika sikutaki, sikutaki sikutaki, hapo hadi mzee Ramadhani mwingine unachukua chombo kipya tena hadi mwisho wa mfungo
Kutoa kwao talaka unaandika maneno matatu tu kwenye karatasi ya A4:
Unaandika SIKUTAKI, SIKUTAKI, SIKUTAKI talaka tayari:
Wenzetu wana dunia yao:
Hiyo MUTA ndio kiboko ya Poti:
Allah karuhusu hivyo kwanza kwa kumridhisha mtume halafu na waja wake:
Mungu original anasema hivi
Kumbukumbu la Torati 24:
1
Mtu akiisha kutwaa mke kwa kumwoa, asipopata kibali machoni mwake, kwa kuwa ameona neno ovu kwake, na amwandikie hati ya kumwacha, akamtilie mkononi mwake, na kumtoa katika nyumba yake.
2 Naye akiisha kuondoka katika nyumba yake, ana ruhusa kwenda akawa mke wa mtu mwingine.
3 Na huyo mumewe wa sasa akimchukia, na kumwandikia hati ya kumwacha, na kumpa mkononi mwake, na kumtoa katika nyumba yake; au akifa yeye mumewe wa sasa, aliyemtwaa kuwa mkewe;
4 yule wa kwanza aliyemwacha asimtwae kuwa mkewe tena, akiisha kutiwa unajisi; kwa kuwa haya ni machukizo mbele za Bwana; kwa hiyo usiitie dhambini nchi, akupayo Bwana, Mungu wako, iwe urithi.