DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Nipo hapa Chuo X Kuna Mwanamke nimemwambia Mimi ni Mtumishi wa Serikali nafanya Kazi ofisi ya waziri Mkuu .
Wakati tupo Katika maongezi imeingia message kwenye simu yangu , jina limeandikwa Mh Mbunge , ukweli ni Kwamba huyo sio Mbunge wa Serikali ya JMT Bali ni mh Mbunge wa Serikali ya wanafunzi Jimbo la hostel za nje😁
Waliosoma chuo wanawajua Sasa kuona nawasiliana na Mh Mbunge huku nikimwambia Nina appointment na waziri Mkuu ,Basi huyu Mwanamke kaamini Mimi ni mtu mkubwa Sana . Kid
Sasa kusema ukweli huyu Mwanamke kaanza kuniganda Sana tena Sana . So this is too wonders , mtu mzima kukosa umakini wa kujua ukweli na uongo.
Maana Yake Akili imeanza kumtuma kuwa Mimi ni mtu mkubwa na ameshaanza kupiga hesabu za kuokota Dodo chini ya Mpapai.
Kweli wanawake ni viumbe dhaifu Sana .