Hivi kwanini wanawake wa Tz wanaamini uongo Sana , Je Mwalimu wao kipofu?

Hivi kwanini wanawake wa Tz wanaamini uongo Sana , Je Mwalimu wao kipofu?

Nipo hapa Chuo X Kuna Mwanamke nimemwambia Mimi ni Mtumishi wa Serikali nafanya Kazi ofisi ya waziri Mkuu .

Wakati tupo Katika maongezi imeingia message kwenye simu yangu , jina limeandikwa Mh Mbunge , ukweli ni Kwamba huyo sio Mbunge wa Serikali ya JMT Bali ni mh Mbunge wa Serikali ya wanafunzi Jimbo la hostel za nje[emoji16]
Waliosoma chuo wanawajua Sasa kuona nawasiliana na Mh Mbunge huku nikimwambia Nina appointment na waziri Mkuu ,Basi huyu Mwanamke kaamini Mimi ni mtu mkubwa Sana . Kid

Sasa kusema ukweli huyu Mwanamke kaanza kuniganda Sana tena Sana . So this is too wonders , mtu mzima kukosa umakini wa kujua ukweli na uongo.

Maana Yake Akili imeanza kumtuma kuwa Mimi ni mtu mkubwa na ameshaanza kupiga hesabu za kuokota Dodo chini ya Mpapai.

Kweli wanawake ni viumbe dhaifu Sana .
"ukweli ni Kwamba huyo sio Mbunge wa Serikali ya JMT Bali ni mh Mbunge wa Serikali ya wanafunzi Jimbo la hostel za nje[emoji16]"

Ndio ukundundu wao huo. Ndio maana wanaendelea kuzalishwa ovyo. Piga mbususu hio mkuu
 
wanawake kama ulivyo kwa wanaume hupenda kusikia mambo mazuri, ya kuvutia, ya kufurahisha nafsi, maneno mazuri ya faraja, upendo, amani, furaha kusifiwa nk

Wanawake na wanaume wote tu hudanganyika kwa njia moja ama nyingine. Hujaona wanaume wanafilisika kwa kupambwa na kupelembwa.
Hili nalo mkaliangalie
 
well said
 
Kwa kifupi wewe ni pipa na umekutana na mfuniko wako.

Ila ngoja nikumegee siri. Mkiwa mnatudanganya msidhani huwa hatujui hapa tunapigwa changa la macho tunajua vizuri tu. Sasa wewe hapo unadhani hajajua na wakati amechekelea atakupiga vizinga vya watu wazito.
 
Fanyeni tu Kazi Mtapata o
Pesa zenu za halali
Kwa kifupi wewe ni pipa na umekutana na mfuniko wako.

Ila ngoja nikumegee siri. Mkiwa mnatudanganya msidhani huwa hatujui hapa tunapigwa changa la macho tunajua vizuri tu. Sasa wewe hapo unadhani hajajua na wakati amechekelea atakupiga vizinga vya watu wazito.
 
Na nyie oeni mtakula papuchi za halali.
Achenj zinaa, sana sana wewe ACHA ZINAA. Sawa?
Mimi sio mtu wa zinaa Japo sijaoa . Naelewa madhara ya zinaa Kama msomi mkubwa wa Quruan natumia
Muda wangu kuswali na kusoma vitabu that all sema hii issue leo imenitokea tu lakini siwezi kuongea uongo kwa ajili ya kupata Mwanamke never to me sex sio Sehemu ya Maisha yangu that way I prioritize my self and not anybody else.
 
Safi sana.
 
Upate milioni kwa siku unataka kununua Dunia?[emoji276]inatakiwa upate Elfu 5 tu kwa siku ili tuisome namba huku tukishuhudia ukipigwa mwingi
Mkuu mwaka 2030 unagombea Urais? Wa JMT.
 
Back
Top Bottom