- Thread starter
- #41
No
Not hundred percent true cuz unajua ukiwa na mwanamke wa hivo kuna siku utakua na pesa nyingi kiasi kwamba pesa kwake na kwako sio tatizo au pale ambapo wewe utakua na hela nyingi sanaaa kiasi huhitaji pesa za mwanaume je bado utaendelea kuniambia uanaume ni pesa .Does money makes a a real, romantic ..caring man.Wat if I giv you milions everyday n not caring bout anythn else like your feeling n some sort of little means nuthn with you....wud that make me a man?Na haiko hvo mkuu ila kwe majukumu ya kifedha uwajibike ndo unakua mwanaume haswa