Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nini mama hata mtu mwenyew anaweza jisingizia kalazwa akaupanga uongo saaf na ela akapata
Kaka huwezi jua kama unatapeliwa wenzio wanasemaga hivo alafu na mkwanja wanatoa tunabaki tunawachora tu kimoyomoyo tunasema "ushaliwa"Subutuuu kwa kipindi hiki hatapeliwi ntu labda sizonje[emoji196]
Zaman ilikua ni kutembea tu mkuu.. Unaweza ukapiga ngoko from kisongo to kwamrombo ilimradi tu ukakutane na kitoweoUnataka kusema wanaume wa zamani ealikua eanawatumia nauli wenzi wao? Je walitumia njia gani kufanya transactions...na pia je nikiea na wewe kwenye mahusiano ina maanisha ntagharamiA mahitaji yako yote ndo ujue nakupenda?