- Thread starter
- #61
Unajua mwanamke kama kweli una busara na unatumia akili huwezi kusema huna elfu mbili ya nauli kwanza unanionyesha ni jinsi gani huna hata uwezo wa kuchangamka kutafuta hela.Na ukiona hivyo unaweza kutumia akili mpaka ukaja na ukatumia akili vile vile ukaondoka na pesa ya kutosha toka kwangu...ila sio kuji dharaulisha kukosa elfu mbili..acheni hizoo wenye nazo.Nauli za mbali au mikoani au flight mtu unaeza elewa lakini mtu anaomba buku asa nkikutumia buku jero na kutolea si aibu tupu hyo hata kibanda cha mpesa hahahahahah