Not hundred percent true cuz unajua ukiwa na mwanamke wa hivo kuna siku utakua na pesa nyingi kiasi kwamba pesa kwake na kwako sio tatizo au pale ambapo wewe utakua na hela nyingi sanaaa kiasi huhitaji pesa za mwanaume je bado utaendelea kuniambia uanaume ni pesa .Does money makes a a real, romantic ..caring man.Wat if I giv you milions everyday n not caring bout anythn else like your feeling n some sort of little means nuthn with you....wud that make me a man?Na haiko hvo mkuu ila kwe majukumu ya kifedha uwajibike ndo unakua mwanaume haswa
Sasa umeweka na kimalkia kingi hapo ndugu yangu tutaelewana kweli unanipa shida ya kutafuta mkalimaniNo
Not hundred percent true cuz unajua ukiwa na mwanamke wa hivo kuna siku utakua na pesa nyingi kiasi kwamba pesa kwake na kwako sio tatizo au pale ambapo wewe utakua na hela nyingi sanaaa kiasi huhitaji pesa za mwanaume je bado utaendelea kuniambia uanaume ni pesa .Does money makes a a real, romantic ..caring man.Wat if I giv you milions everyday n not caring bout anythn else like your feeling n some sort of little means nuthn with you....wud that make me a man?
Heheheh ndo uanaume huo sasaSasa umeweka na kimalkia kingi hapo ndugu yangu tutaelewana kweli unanipa shida ya kutafuta mkalimani
Uhakika umeeelwa basi tuuSasa umeweka na kimalkia kingi hapo ndugu yangu tutaelewana kweli unanipa shida ya kutafuta mkalimani
Hahaha na kimalkia kumbe ni ishara ya uwanaume,,bas sawa mwanaumeHeheheh ndo uanaume huo sasa
Kwa mantiki hiyo ntalipia na ukija kwangu kwa kukulipia wewe utakua ni chombo changu cha starehe...vipi uko wapi nikutumie nauli uje?Starehe gharama, No free in this world.. Kwahyo ujitathimin wew, km unapenda starehe usiogope kugharamia
Kimalkia imepenya tuu haimaanishi uanaume.Hahaha na kimalkia kumbe ni ishara ya uwanaume,,bas sawa mwanaume
Na kweli!!! Hiyo ni nature yetu tu kama ambavyo wanaume hawawezi kukaa na m'mke mmoja pekee basi na sisi nature yetu ndio hiyo, hivyo kila mmoja yampasa kumvumilia mwenzie tu ili twende sawaYan kama wamerogwa hivi kweli mtu uniambie nije kwako na nauli nijilipie looh,,so papuch nkuletee bure tu hiyo kitu Hamna,,wanaume nawaambia tena kila mwanamke ana chembe chembe hai za kupenda pesa hata mkeo wa ndani asikufmdanganye mwanamke yeyote kuwa hajakupendea pesa that's a big liar wanawake tumeumbwa kupenda pesa jamani msitushutumu
Kwakweli tuvumiliane tu hakuna namna jamaniNa kweli!!! Hiyo ni nature yetu tu kama ambavyo wanaume hawawezi kukaa na m'mke mmoja pekee basi na sisi nature yetu ndio hiyo, hivyo kila mmoja yampasa kumvumilia mwenzie tu ili twende sawa
Na kweli!!! Hiyo ni nature yetu tu kama ambavyo wanaume hawawezi kukaa na m'mke mmoja pekee basi na sisi nature yetu ndio hiyo, hivyo kila mmoja yampasa kumvumilia mwenzie tu ili twende sawa[/QUOTE sio nature ni tabia...yenu ukisema nature unakosea.
Kwakweli tuvumiliane tu hakuna namna jamani
Naww kumbe hauna nauli??[emoji23][emoji23]
Na kweli!!! Hiyo ni nature yetu tu kama ambavyo wanaume hawawezi kukaa na m'mke mmoja pekee basi na sisi nature yetu ndio hiyo, hivyo kila mmoja yampasa kumvumilia mwenzie tu ili twende sawa
kwako ndo wapiNaombeni ufafanuzi kwa anaejua kwanini...
Ndo ukweli huo mkuu sisi tunapenda pesa nyie mnapenda papuch bas ndo wanasema hakuna alokamilika[emoji23] [emoji23]Hahahah mmekua wapoleee
Majukumu ya kumpa mwanamke nauli??Wanaume wa sikuhizi kwa kukimbia majukumu hamjambo
HaswaaMajukumu ya kumpa mwanamke nauli??
Naanzaje sasa kukosa nauli ya kukufuata uko ulikoNaww kumbe hauna nauli??
mnapiga sana mizinga...Wanaume wa sikuhizi kwa kukimbia majukumu hamjambo