Hivi kwanini wanawake wengi hawanaga nauli ukiwaita kwako?

Unajua mwanamke kama kweli una busara na unatumia akili huwezi kusema huna elfu mbili ya nauli kwanza unanionyesha ni jinsi gani huna hata uwezo wa kuchangamka kutafuta hela.Na ukiona hivyo unaweza kutumia akili mpaka ukaja na ukatumia akili vile vile ukaondoka na pesa ya kutosha toka kwangu...ila sio kuji dharaulisha kukosa elfu mbili..acheni hizoo wenye nazo.Nauli za mbali au mikoani au flight mtu unaeza elewa lakini mtu anaomba buku asa nkikutumia buku jero na kutolea si aibu tupu hyo hata kibanda cha mpesa hahahahahah
 
mnapiga sana mizinga...
naomba elfu amsini mama amelazwa ntumie kwenye tigo yangu# ukipewa unaenda kukoboa minywele saluni hakuna cha mgonjwa wala maiti
Hahaha pole mkuu[emoji23] [emoji23]
 
yes mnapenda mpaka mnaweza kusingizia mama kalazwa mochwali
 
Mkuu Huyo anaekosa hadi buku tano jua kuwa hajui hesabu kama sehemu unaenda kwa buku 2 unarudi na hamsini ai faida hyo sema kujiongeza nako ndo shda ila wengi wanaoomba nauli kabla ya meeting wanaingiaga mitini
 
Ndo maana siku hizi unaweza kukaa na mpenzi wako halali na wa muda mrefu umeshikwa na hamu kidogo ya tendo unashangaa anakuuzia papuchi hapo hapo...eti ooooh nipe hela ya saluni kwanza...kwani huwez kunipa alafu uniombe hyo hela...ukisema huna tuu amefura na hupewi...
Ndo ukweli huo mkuu sisi tunapenda pesa nyie mnapenda papuch bas ndo wanasema hakuna alokamilika[emoji23] [emoji23]
 
Hahaha nmecheka eti amefura na hupewi
 
Mkuu Huyo anaekosa hadi buku tano jua kuwa hajui hesabu kama sehemu unaenda kwa buku 2 unarudi na hamsini ai faida hyo sema kujiongeza nako ndo shda ila wengi wanaoomba nauli kabla ya meeting wanaingiaga mitini
Enheee sasa tupo pamojaaaa.....hapo ulipo kunywa unachotaka alafu nikutumie hela ulipie....hahahah
 
Tatizo sio NAULI,,,Bali wanahitaji MALIPO YA KUJA KWAKO....MPE 2000 nauli kama hajakupost INSTAGRAM..... anakwambiya nauli UNAPASWA UJIPINDE 40000,,,au 30000,,ksho ukipiga SIMU FASTER ANAPOKEA,,,ukimpa 2000 ANAKUBLOCK....sasa utasema alitaka NAULI AU MALIPO?
 
Khe kwani mawe yameisha??? We rusha tu likitua kwenye bati lao atakuja kwan sh ngapi kurusha jiwe kwenye nyumba ya mpenzi wako
 
Asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…