Hivi kwanini wanawake wengi hawanaga nauli ukiwaita kwako?

Anaanza na nauli, mkimaliza apewe posho, akiwa kwao ni mwendo wa mizinga. Wanaweke wa miaka hii wengi wao ni kama wanajiuza tu, ila wengi wenu hamjashtukia kama mnauziwa penzi kwa kisingizio cha huduma. Poleni msio na wake
 
Subutuuu kwa kipindi hiki hatapeliwi ntu labda sizonje[emoji196]
Kaka huwezi jua kama unatapeliwa wenzio wanasemaga hivo alafu na mkwanja wanatoa tunabaki tunawachora tu kimoyomoyo tunasema "ushaliwa"
 
Unataka kusema wanaume wa zamani ealikua eanawatumia nauli wenzi wao? Je walitumia njia gani kufanya transactions...na pia je nikiea na wewe kwenye mahusiano ina maanisha ntagharamiA mahitaji yako yote ndo ujue nakupenda?
Zaman ilikua ni kutembea tu mkuu.. Unaweza ukapiga ngoko from kisongo to kwamrombo ilimradi tu ukakutane na kitoweo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…