Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,793
gharsma ndio nini mkuu?Wasanii wote huwa wanaongeza 0 mwishoni au kuzidisha mara 1.5 ya gharsma halisi
Msahamba tu huyo mtoto mbona wengine wananunua bei za kawaida kama sisi!Nimejiuliza ila sijapata jibu.
Maana ukikutana na msanii hata kama anamiliki Passo ambayo watu wengine huwa tunauziwa milioni saba, yeye atakwambia amenunua milioni kumi na tano!
Jana nimeshangaa kumsikia MC Pili pili akijidai kuwa ameuziwa gari aina ya BMW X3 kwa zaidi ya sh milioni thelasini, wakati mimi nikipiga garama za kuagiza hiyo gari wala hata hazizidi milioni ishirini na mbili.
Yani kwa haraka haraka MC Pilipili ni kama amepigwa milioni kumi zaidi ya market price ya hiyo gari...
Hivi wasanii huwa hawajuagi ku bargain bei za magari au ni nini? Maana kila msanii akiuziwa gari, basi itakuwa ni bei ya juu kuliko wanunuzi wengine!
Ugogo hauusiani na ushamba wake huyo!Mgogo ni mgogo tu!!! Wacha apigwe tu
Bei za magari hazifanani hata siku moja. Inategemea na muuzaji wa gari, na condition ya gari husika. Unaweza kukuta huyo MC Pilipili amenunau gari ambayo ni 0 km au ipo low millage, wakat wewe hiyo yako ya milion 22 imetembea millage za kufa mtu!!!Nimejiuliza ila sijapata jibu.
Maana ukikutana na msanii hata kama anamiliki Passo ambayo watu wengine huwa tunauziwa milioni saba, yeye atakwambia amenunua milioni kumi na tano!
Jana nimeshangaa kumsikia MC Pili pili akijidai kuwa ameuziwa gari aina ya BMW X3 kwa zaidi ya sh milioni thelasini, wakati mimi nikipiga garama za kuagiza hiyo gari wala hata hazizidi milioni ishirini na mbili.
Yani kwa haraka haraka MC Pilipili ni kama amepigwa milioni kumi zaidi ya market price ya hiyo gari...
Hivi wasanii huwa hawajuagi ku bargain bei za magari au ni nini? Maana kila msanii akiuziwa gari, basi itakuwa ni bei ya juu kuliko wanunuzi wengine!
Ni yule mgogo aliekua akijiliza kwenye mitandao ya kijamii, kisa kaachika.... tehteehhhMc Pilipili ndio yupi wadau
Bei za magari hazifanani hata siku moja. Inategemea na muuzaji wa gari, na condition ya gari husika. Unaweza kukuta huyo MC Pilipili amenunau gari ambayo ni 0 km au ipo low millage, wakat wewe hiyo yako ya milion 22 imetembea millage za kufa mtu!!!